Mvua ishaharibu huku sioni tenaDakika ya 72
Liverpool 0-0 Southampton
Hawa jamaa kama wameagizwa yani wamelinda mnoooHii game draw wakati ilikuwa ya kushinda kabisa.
Moja kati ya performance mbovu kabisa Liverpool wame perform. Hatuwezi kupata top 4 kwa aina hii ya uchezaji. 90 minutes tunapiga shot 4 tena off targets! Top four tukipata si kwa sababu sisi tumefanya vizuri, hapana ni kwa sababu timu kina united na Arsenal wamefanya vibaya.
Kikosi hiki kinatakiwa kufanyiwa over haul. Yaani sub zetu ni sturridge na Moreno! Tuacheni utani hii timu ni mbovu hakuna haja ya kujifariji.
Are Liverpool competing for Top Ten?? or typing error??Liverpool top ten dreams hangs on the next match