Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Top 4 ileeee tunaikosa....rejea maneno ya anceloti alivotaka pewa kazi ya ukocha
You are not serious aisee
Liverpool anamaliza wa 3 mbele ya Man City
Man U atacheza CL sababu atachukua Europa Cup
Arsenal,Everton na mwingine yyt watacheza Europa ligi
 
You are not serious aisee
Liverpool anamaliza wa 3 mbele ya Man City
Man U atacheza CL sababu atachukua Europa Cup
Arsenal,Everton na mwingine yyt watacheza Europa ligi


Hivi hakuna mtu anaeweza kuwaroga hao manyang'au wafungwe nq celta vigo ili wasije wakachukua hako ka europa league?..

I hate manure for sure....
 
'Anaendelea Vizuri'

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kwamba ana matumaini nyota wake Philippe Coutinho atapatikana kuikabili Southampton siku ya Jumapili.

Coutinho aliumia kwenye mechi ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Watford siku ya jumatatu lakini aliweza kurejea mazoezini jana Alhamisi.

Na klopp leo amesema," Phil jana alirejea akifanya mazoezi ya kukimbia. Hatuwezi kuwana uhakika kwa asilimia 100. Lakini kwa sasa hali yake inaonekana chanya."
4eb9f536584cbd42a67cde98e95411a7.jpg
 
palace wangese, washapigwa 3 na city kama wamesimama wakt tulivyocheza nao walituaibisha
 
palace wangese, washapigwa 3 na cit kama wamesimama wakt tulivyocheza nao walituaibisha

Sielewi waliwapigaje Chelsea kisha wakatupiga sisi halafu wanapigwa magoli manne....wanawatengenezea GD Man City
 
Kila mechi yetu ni fainali na leo itabidi kushinda kwa ulazima ili tuendelee kuwa na matumaini ya kucheza CL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom