Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ni Kweli Tumepigwa Ban Kutosaini Mchezaji Yoyote Kutoka Katika Vilabu Vya Kiiengereza Kwa Ngazi Ya Academy Kwa Muda Wa Miaka 2.... Lakini Ban Hii Haitahusisha Wachezaji Wa Kigeni Kutoka Nje Ya Uiengereza Kwani Tunaruhusika Kuwasajili....
Hata Hivyo Kwa Kiasifulani ni pigo kwa Timu yetu....
"Liverpool have been handed a two-year ban on signing any player who has been with another Premier League club or any English Football league Club in the previous 18 months. Foreign deals are not affected."