Karibu tena. Hapa ndio ANFIELDhata mie naona.
Aisee nimemwona Sakho kwenye game ya palace vs United jamaa kapiga mpira mkubwa sana. Ameondoa mipira mingi ambayo dhahiri shahiri ilikuwa iingie wavuni. Amecheza vizuri sana.
Clinic ya Liverpool inazidi kuongezeka majeruhi. Baada ya lalana naona sasa ni Mane. Kama tutamkosa jumatano ijayo itakuwa ni big blow. Sababu ukiangalia pale bench sioni ni kwa namna gani tutapanga kikosi chetu. Hivi Ings bado yupo Liverpool?
Ndugu zangu KOPITES
Scan ya Mane imetolewa maelezo tayari?