Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He's big
he's red
he's klopp klopp klopp klopp klopp
klopp klopp klopp
klopp klopp klopp
klopp klopp klopp

Soon to be he's clap, he's clap he's clap.....He can walk alone for you care.


Klopppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp

Watu wapo excited kama wametumia methylenedioxymethamphetamine

Welcome to Anfield, Klopp.

His name is Klopp
Joins the Kop
Puts Liverpool on top
Success non stop
Rival teams flop
IT'S JURGEN KLOP(P)

Grüße aus Deutschland😀😀[emoji106][emoji106]


We're backkkkkkkkk

Now KLOPP IS THE 2ND HIGHEST PAID MANAGER IN THE EPL, BEHIND MOURINHO, earning £10m per year...

Klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp

It is Jurgen Klopp

 
Umesema kweli lakini punguza ukali wa maneno...

Naisubiri timu yangu New Castle ipande daraja nirudi kuishabikia.

Hapa nilikuwa kwa mkopo[emoji3] [emoji3]
 
Mkuu una maneno ya shombo, ila hakuna namna

Hawa jamaa walimtunga Moyes jina la Football Genius, cha ajabu ni bora Moyes than Klop

 
Mkuu sidhani kama kuna maajabu yatakayotokea kwenye usjili wa dirisha lijalo FSG wabahili sijui kwa transfer hii kama watajitoa akili ya ubahili na kusajili wachezaji wazuri.

YNWA
Mkuu, hayo ndiyo maajabu ninayosema! Wakisajili vizuri ni maajabu, na wasiposajili vizuri watakuwa wanaendeleza maajabu yao pia!
 
Mkuu una maneno ya shombo, ila hakuna namna

Hawa jamaa walimtunga Moyes jina la Football Genius, cha ajabu ni bora Moyes than Klop

Tatizo moyes alishindwa kuvumiliwa kwasababu timu ilikuwa imetoka kuwa mabingwa, na pia alisababisha record nyingi sana kufutwa ndo maana alichukiwa, ila sasa huyu klopp ameletwa kuikwamua team lakini anaonekana kuvurunda sio kawaida!!

Mm nawasakama liverpool kwasababu wanataka vitu ambavyo kwa sasa sio size yao kabisa bora watulie tuu.

Makocha wanaowaleta wanamitazamo inayofanana hasa katika usajili wanafanya blunder tuu

Unaacha debrune unachukua firminho, hata kujaribu tuu kumsajili hakuna.

Unashangaa diego costa kaenda chelsea wakati alikuwa anakiwa aende liverpool badala yake analetwa balloteli

Unaleta fullback moreno wakati epl wapo namba 3 wazuri kuliko hata huyo tena bei rahisi tuu

Unamsajili milner ambae wenzako wameona hatoshelezi unaacha mikhtarian!!!!

Unasajili matip wakati kuna wapiga mkoba lukuki EPL na championship ambao ni wazuri tuu, mfano williams wa swansea aliyeenda everton

Hapa ndo funga kazi, unamundoa sakho halafu hausajili then unamchezesha lucas CB mtu mfupi, kazeeka end then what do you expect!!! Huyo clavan hadi leo hajazoea ligi!!

Halafu hicho kikosi kina makinda wengi mnoo ambao hawawezi kukupa suluhisho unapokua katika crisis maana hauwachezeshi mara kwa mara halafu si ajabu nao karibia wote ni mediocre[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hamna kinda anaeweza kutishia amani eneo la midfield au foward unadhani kuna mafundi sasa hapo??!! Just mediocre

Ila huu mwaka accademy yenu iko vizuri huenda mkapata fundi kwa next seasons
 
Mkuu umewashika pabaya, hawachomozi
 
Kuna mda nilipenda kwenda kuiangalia Liverpool ingawa mi na Manchester united dam dam walikuwa wanacheza vizuri team performance unaiona kama mnakumbuka wakati huo ndo walikua katika pic yao walikngoza magoli waliyofunga sasa na wachezaji n walewale tatizo liko wapi Liverpool bow day mpe mtu mzima watampatia kibano kama hawamjui mpe watoto ohooo yani n chakula yao what's wrong gone wrong nawachukia liverpool ila kuna mda niliwapenda ila what's doesn't kill you makes you stronger haha Leicester swanswea hullcity makes liver pool stronger nakymbuka walishikana mikono baada yamechi kuisha na westbrom kwenda kywapongeza mashabik like wameshinda league wanachokijua n kumfunga Barcelona 4 friendly alaf mechi inayofuata anapigwa bao hizo hizo mwisho Liverpool zama zao zimekwisha nasio timu kubwa no sawasawa na kichwa cha mwendawazimu na watamaliza league nyuma ya mahasimu wao everton
 
Wacha Tujikumbushe na Vituko Vya ROBEN HOOD (KLOPP):
Liverpool Sikuzote Wanabalance League!

Aalimfunga Arsenal, Wakafungwa na Burnley....
Wakamfunga Chelsea, Wakafungwa naBournemouth....
Walimfunga Man City, Wakfungwa na Swansea City....
Wamemfunga Spurs, Wakafungwa na Leicester City....
Game ijayo Anacheza na Arsena, ikisha Anacheza na Burnely....
Sipati picha nini kitatokea!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hapa ndiyo alipotufikisha Klopp.... Katujengea Sera ya Roben Hood Ya Kuchukua Kwa Matajiri, Ukagawanya Kwa Masikini....
 
Poleni bana, hadi mnatia huruma
 

Najua mtashinda, na nawaombea sana mshinde watu kiulaini tumalize zetu ligi wa 2 au wa 3.
 
Mkuu umewashika pabaya, hawachomozi
Mkuu mimi ni shabiki wa chelsea lakini tukiweka ushabiki pembeni, timu zilizokuwa zinapiga soka la burudani yaani open play mwanzo mwisho na zinaflow ipasavyo 1.arsenal 2.swansea 3.liverpool 4.man u ya mzee fundi baada ya hapo ndo kina chelsea tunafuata ila sasa hivi im disappointed with this team

Kilichokuwa kinanivutia liverpool ni flow ya attacks zao tena kwa high tempo hadi wewe mwenyewe unajikuta umeshafungwa, lakini leo wapi!!! [emoji34] [emoji34] [emoji34] waache majigambo kwanza, wakirudi kama 2013/14 uwanja utakua wao wala sitathubutu kuwashambulia
 
Wapenzi na shabiki wa Liverpool kunyweni Maji kwa hisani ya Danny Drinkwater.

Leicester city kapumulia kwenu Manaake hali yake ilikuwa mahututi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…