Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Liverpool Alichukua FA, LEAGUE CUP, EUROPER CUP, CHAMPION LEAGUE, EUROPER SUPER CUP na Mukamcheka na Kumwita LOSER kwa Sababu Hakuchukua PREMIERE LEAGUE....... Lakini Nashangaa Na Nyinyi sasa Munaanza Kujifariji Kwa LEAGUE CUP ambayo Alipochukua Liverpool mulimcheka na Kusema amebeba Kombe la Mbuzi!!!!!!
"Hile maana ya "TIME WILL TELL" sasa inaanza kuthibitika wenyewe... Yaani sasa mumefikia Kujiproud na League Cup badala ya Premier League muliyoizoea?????????
poleni sana jamani.
kuna matatu
1. Hatuna wachezaji
2. Hatuna kocha au
3. Hatuna kocha na wachezaji
3-1 aisee na siyo bila.Ivi naota ama.....ni kweli Liverpool amefunga n.a. Leicester city 3 bila au.
wajitahidi na arsenal watoke droo ili watusafishie njia sie.Mapema tu,wameliwa miguu ya bajaj[emoji23][emoji23][emoji23]
wajitahidi na arsenal watoke droo ili watusafishie njia sie.
Haaaaaaaaaaaa. Jamie Carragher kaua bendiGary Neville: "Liverpool have been off for two weeks, what were they doing in La Manga?"
Jamie Carragher: "Drinking."
Haaaaaaaaaaaa. Jamie Carragher kaua bendi
Watu wanaona uchungu na timu zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gary Neville: "Liverpool have been off for two weeks, what were they doing in La Manga?"
Jamie Carragher: "Drinking."
sana...........yani wazingatie hili.Wakitoka droo,watakua wamefanya jambo la msingi sana.
Mimi nimeacha kufatilia masuala ya mpira totally I waste my time for this shit club. Nitarudi kuishabikia timu only & only if Klopp akiwa fired na FSG wakitoka Lfc.Nimewakumbusha Mod,wenye timu wameshabadilisha nao wabadilishe.Naona kopites wote mmeamua kujipiga ban jukwaa limenuna
Hahaha Carragher alikua amalizie "water" yule wa leicisterGary Neville: "Liverpool have been off for two weeks, what were they doing in La Manga?"
Jamie Carragher: "Drinking."