Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Endeleeni kuboreka wakuu wengne tunanataka ubingwa. Mtaboreka tu msijali.Ingawa Katika Mchezo Wa Jana Liverpool vs Chelsea Teonesha Kuboreka! Lakini Bado Sio Kigezo Cha Kusema Timu imeshakaa Sawa na Performance imeshakuwa Nzuri....
Hile ilikuwa Ni Big Match! Na Kawaida Liverpool anapocheza Big Match Huwa Unpredictable......
So, Wacha Tuone Next tutapopiga Na Hull City kama timu imeboreka performance au bado!!!
Roberto Firmino's drink-drive verdict
Fined £20,000
Banned from driving for up to 12 months
But the Brazilian is still in contention for the Reds on Saturday. [emoji35] [emoji35]
Yesssssss! Finally Huu Mzimu Wa Sakho Umesepa.....
Liverpool's out-of-favour defender Mamadou Sakho has agreed to move to Crystal Palace on loan for the rest of the season.
He he he he he, leo kimyaaa hakuna anaepiga vuvuzela hapaTeam ambayo ina the most expensive player in the World, a 300k p/w striker, player ambaye alikuwa voted kama Bundesliga best player katika msimu wake wa mwisho...and the best manager in the world (LOL)..
Inapigania nafasi ya 6 na Everton/southampton, and cant even win against Hull City at home. But mashabiki wake wanakuwa na Audacity ya kuimock LFC ikipoteza games. Hahahaha
Such a deluded fanbase on this platform..
he needs a rest though..
niliona Klopp anasema, analazimika kumchezesha Bobby kila games kwasababu hakuna mchezaji mwingine mwenye qualities kama za Bobby pale mbele.
sasa kama anajua hilo kwanini asinunue players wa kucover hilo eneo? Coz its clear jamaa hawakubali Sturridge na Origi..
Firmino kachoka sana, nadhan ndo mchezaji aliyecheza minutes nyingi this season kuliko mchezaji yoyote. But anahitaji kupumzika. Hope february atapata rest ya kutosha. Tuna games 3 tu february? au nipo wrong?..
Hachelewi kuja kusema 'I wait our striker (Ings) to come back strong'
Bobby kwa kweli akae bench arudishe confidence kwanza maana kwa ile performance ya juzi na hukumu baada ya kesi yake nimeona watu wengi wamemshambulia he need a rest.
Yaah February na March tuna jumla ya games 6, 3 kwa kila mwezi tukitumia vizuri huu mwanya we can do something better
Hahaaa, umeona domokaya wao anavyowashwawashwa na Liver?!Team ambayo ina the most expensive player in the World, a 300k p/w striker, player ambaye alikuwa voted kama Bundesliga best player katika msimu wake wa mwisho...and the best manager in the world (LOL)..
Inapigania nafasi ya 6 na Everton/southampton, and cant even win against Hull City at home. But mashabiki wake wanakuwa na Audacity ya kuimock LFC ikipoteza games. Hahahaha
Such a deluded fanbase on this platform..
Hahaaa, umeona domokaya wao anavyowashwawashwa na Liver?!
He he he he he, leo kimyaaa hakuna anaepiga vuvuzela hapa
Huyu ndie mshenzi wa kwanza anaetakiwa kusepa pale anfield wakifwatiwa na FSGIan Ayre is set to leave Liverpool FC at the end of February following a successful 10- year tenure at the club.
In March 2016, Ayre announced his plans to leave LFC and he has since played a pivotal role in completing a 10-month transition plan to put a robust structure and operating framework in place that will ensure continued stability across the club and pave the way for the new CEO, who is expected to join in the summer.
Aende tu, hawa FSG naona kama bado wapo sana kuna makala nilisoma wachina walitangaza dau lao la kuchukua club naona jamaa wakachomoa nadhani waliona dau walotoa wachina dogo kuliko evaluation, je akija mtu mwenye dau linalo meet evaluation yao waloitaja wataachia club?Huyu ndie mshenzi wa kwanza anaetakiwa kusepa pale anfield wakifwatiwa na FSG
Huyu ndie mshenzi wa kwanza anaetakiwa kusepa pale anfield wakifwatiwa na FSG