Leo zinapunguzwa point 3,zinabaki pointi 7,jpili arsenal anapunguza tena 3,zinabaki 4.he he hee
Kaka hiyo picha ndiomya nini?, au ina maana mtapaki basi leo?
watu wanatamani ubingwa na si hayo new bus.Hii new bus majirani lazima waitamani [emoji41] [emoji41] [emoji12]
Kuwa mpole mkuu ndiyo maana tumeanza na basi kwa kujiandaawatu wanatamani ubingwa na si hayo new bus.
watu wanatamani ubingwa na si hayo new bus.
Chelsea anaanza kupotea leo na ubingwa asahauKaka yaani ndivyo unavyotaka, lakini uhalisia sio huo kabisa, leo mnachezea sio chini ya mbili, mjiandae msimu ujao
Kaka tuliyasema haya na tunayaonaShida kubwa sana kaka, watakuja na mchezo wa fujo wa rafu za kijinga,
Lakini hawatachomoka, watachezea sio chini ya mbili
Endelea kuota ndoto za kitandaChelsea anaanza kupotea leo na ubingwa asahau