Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Eti Klopp is genius , No commentLiverpool to rush Sadio Mane back from AFCON to face Chelsea - source
Liverpool will arrange a private jet for Sadio Mane in order to bring him back to Merseyside from the African Nations Cup......
Hapa Watu Wamekuwa Fooled kwa Kujitengenezea Excuses Zisizokuwa na Msingi Wowote.....
Ninachokiona Hapa Ni Sawa na PLACEBO kwa Wale Madaktari na Wagonjwa Wao.....
Inqonesha Wachezaji Wamepoteza Moral, Washabiki Wamepoteza Faith Kwa Timu Yao! Sasa Kinachofanywa Hapa Ni Kuletwa Mane ili Wachezaji Kisaikolojia Waweze Kujijengea Confidence! na Mashabiki Warudishe Imani Kwa Timu Yao....
[HASHTAG]#KloppisGenius[/HASHTAG]
Swala la liverpool kuwachukulia private jet wachezaji wake halijanzia kwa mane wala halijanza Leo ukifwatilia hata wabrazil nao wakiendaga pia hurudishwaga na private jet kwa gharama za teamMane kawa theluji Liverlooser.....private jet....na bado anatembea na his own doctor tena from the club. Big up Mane
Kama Unakumbuka Vizuri Ndani Ya January Hii Ulisema Utamfunga Liverpool na Ukashindwa Kumfunga Wakati Timu Nyingi Zinajipigia Tu Nje Ndani Lakini Siku Ya Mechi Yako Umeambulia Draw Tena Ya Lala Salama.....
Hivi Bado Tu Hujajua Ukweli Kuwa Liverpool Sumu Yake ni Kina Nani??
Basi Kwa Taarifa Yako Hapo Hapana Chelsea, Arsenal wala Spurs Atakae Tufunga... Atakaepata Hapo Basi Ataambulia Draw! Na Kama Huamini Subiri Mechi Ya Chelsea Kama utaweza Kuniprove Wrong.....
Bora Ungeandika Kuwa Nitafungwa na STOKE, WATFORD, PALACE, LESTA, HULL, BORO and the likes! Hapo Ningekuamini Kuwa unaijua Liverpool......
Mbona huo ubao una utofauti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sturridge is World Class
Striker Wetu (Sturidge na Origi) ni Most Average and poor strikers in Premier League...
....
Acha wafanye tu hivo, wanamuda mrefu gari ya parade hawajaionaView attachment 465352
Mapokezi ya Saido Mane hivi sasa [emoji14] [emoji14] [emoji14]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Acha wafanye tu hivo, wanamuda mrefu gari ya parade hawajaiona
Sasa wewe unaumia na kipi sisi kumtegemea Mane? Kila timu inayo staa wakeMnamtegemea mane tu
Linemuuma kweli yani.Sasa wewe unaumia na kipi sisi kumtegemea Mane? Kila timu inayo staa wake