Hahaaaaa timu yetu mbovu lakini kwa hili la kupitwa nao HAPANA kwa kweliHiyo mamitoh itakupita mkuu itaingia kwenye top four.....
Timueni hiyo Klopo rudisha ile Rrrrrrrafa Benitez asuke upya timu
Duhhhhh!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu poyeeee
Iiiiiite ile mamitoh yetu ikubembeleze kiduchu
Akuuuu nani majangaa!!! Pole best yangu na hili nalo litapita....Asante mkuu
Tunabembelezana naye maana wote majanga tu
[emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Duhhhhh!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Akuuuu nani majangaa!!! Pole best yangu na hili nalo litapita....
Missing uuuu..... yaani mnashinda mpka mnanikeraaaa sijiiiii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahaa mimi nimeanza kuzoea kumbe kutokushinda ni jambo baya sana na gumuDuhhhhh!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Akuuuu nani majangaa!!! Pole best yangu na hili nalo litapita....
[emoji2] [emoji2]Hendo kama nahodha ameshindwa kuhamasisha timu kupata ushindi. Mtazame Rooney anapoitafutia man u ushindi. Hendo vi pass vyake vya square wakati squad inahitaji kupeleka mashambulizi havinipi hamasa.
Ina leta faida gani kwa timu kuwa na touches nyingi zisizo na faida?
Orig na Sturridge kama vile waswahili wa manzese japo wako ulaya.
Amre Can sioni umuhimu wake.
James Milner bingwa wa penati tu. Miongoni mwa wapiga pasi mkaa Liverpool. krosi hazina tija.
Firmino kama mrisho ngassa. anasikiliza jukwaa.
Klopp aongeze safu.
2:Holding midfield Box to box kama alivyokuwa Gerald.
3Striker
4:Wing attacks kama Rashford.
5:Attacking midfield kama Hazzard wa kumsaidia Cout. Sio unamtoa courtinho unamuingiza Orig.
Mentor naona utabiri wako umetimiaUlivyojibu kwa hasira sasa kama tupo jukwaa la siasa...
Eniwei...fact is De Bruyne kwa sasa ndiyo engine ya Man City.
About Henderson, siwezi kuongea sana coz sijafuatilia though ni mchango mkubwa. What I am waiting to see ni January...Mane akiondoka!!!!
Missing sn wewe yaani mpk natamani kuoga nje mchana kweupe [emoji4] [emoji4]Missing uuuu..... yaani mnashinda mpka mnanikeraaaa sijiiiii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu timu yenu hii liverpool ni janga kubwa... Muiteni Trump awatumbue wanao wakwamisha.Hahaa mimi nimeanza kuzoea kumbe kutokushinda ni jambo baya sana na gumu
Mamitoh hii shabiki ya LFC ndio nimekuja kuijoke kidogo lkn wewe kule kwetu baba angu Mourinyo anawapa raha na leo lazima aikick out Hull City na muingie fainali na Soton. Ila yasije kuwatokea ya Ile Soton ya kina Nwanko KanuYaani acha kabisa..... si unaona Ntuzu anavyotunyanyasa wee muache wakati mwaka jana tulimsitiri hahahhaha
Missing sn wewe yaani mpk natamani kuoga nje mchana kweupe [emoji4] [emoji4]
Mwaka wetu huu my dear Eva
We ain't gonna have any pressure even though we gonna lose to ya.."Mwaka Wetu Huu" Since When??
We Will Continue To Keep Pressure On You till the last Drop... Our Next Meeting we gonna Kick Chelsea's Asses to Give Advantage Sours To Make You Fucking Around...
Me as King Ngwaba I Know Exactly Our Season is Over Coz Everything had Fallen Apart.. But We will Continue to Apply Damn Pressure on You......
Hahahahaha subiri niishinde Hullicity zawadi yako ni kukuogesha nje [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu timu yenu hii liverpool ni janga kubwa... Muiteni Trump awatumbue wanao wakwamisha.
Mamitoh hii shabiki ya LFC ndio nimekuja kuijoke kidogo lkn wewe kule kwetu baba angu Mourinyo anawapa raha na leo lazima aikick out Hull City na muingie fainali na Soton. Ila yasije kuwatokea ya Ile Soton ya kina Nwanko Kanu
Mkuu timu yenu hii liverpool ni janga kubwa... Muiteni Trump awatumbue wanao wakwamisha.
Hahahahaha yerewiii...... [emoji38] [emoji23]Hahahahaha subiri niishinde Hullicity zawadi yako ni kukuogesha nje [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pole sn mkuuJanga letu ni kubwa mkuu