Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man city analia huko,leo timu za mji wa Manchester zote zinalizwa
 
Liverpool team:
Mignolet, Alexander-Arnold, Lovren, Klavan, Milner, Henderson, Wijnaldum, Can, Lallana, Firmino, Origi.

Substitutes: Karius, Gomez, Moreno, Stewart, Ejaria, Coutinho, Sturridge.

Kikosi Chetu Cha Leo Ni Chepesi Mno....
Lakini Wacha tuhope For Good result....

Injury + AFCON ni Jinamizi kwetu....
 
Mkuu wewe subiri uone kitakachotokea.........Lets have +ve attitudes.
 
How we have lined up and Matip saga
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-15-18-18-25.png
    59.2 KB · Views: 41
  • Screenshot_2017-01-15-18-22-28.png
    163.5 KB · Views: 37
Wakuu Naomba Msaada Wa Link Niweze Kustream online Hii Gemu leo Nipo Eneo baya Kidogo Kuifikia Luninga...
 
Tumekosa points 3 hivi hivi kwa timu mbovu kama man u!...ila si mbaya.
 
Jamani tuacheni utani Liver tumeporomoka vibaya sana kutoka kwenye standards zetu za kucheza uki compare how we played gemub4 za mwisho and we used to play november. Tunashuka issue sio kufurahia droo ila angalia how we are playing now.
 
Beside it was an offside goal anyway
kawaida kushangilia draw hao jamaa mshika kibendera alisimama pale pale! wacha waendelee kukimbizana na Everton na kubebwa kwao, Pogba vipi kabaki uwanjani na alicheza Rugby bado sijui.
 
Jamani tuacheni utani Liver tumeporomoka vibaya sana kutoka kwenye standards zetu za kucheza uki compare how we played gemub4 za mwisho and we used to play november. Tunashuka issue sio kufurahia droo ila angalia how we are playing now.

Mkuu naamini Ujio Wa Coutinho na Mane Utaifanya Timu Yetu itulie na Kurudi Katika Form.. May be February.....

Kama unakumbukumbu nzuri Timu yetu Mwanzoni mwa Msimu ilikuwa inaperform well.. Na Kumbuka Kuwa Haikua Na Subs... Wanaoanza ndio Hao hao Mwanzo Mwisho na inaoofanywa Sub basi ilikuwa ni Moja tena aroud 88th minutes....

Timu ilikuwa Hivi ↓↓

Mgno
Clyne
Lovren
Matip
Milner
Hendo
Gini/Can
Lallana
Mane
Bibby
Cout

Sasa Klopp aliitengeneza hiyo Timu Kuwa ni ya Ushindani na yenye Maelewano na Pace...
Kwahiyo Kupungua Mmoja tu hapo ni Tatizo Kwa Performance ya timu nzima..
Sasa angalia Ndani Ya December Tumewakosa Wangapi hapo??

Almost February timu yetu Haitagusika tena pale itakapounganika tena Kikosi Kamili na Mane akiwa Kundini...... Hapo Tutarudisha Pace Yetu na Kutandika ile "Heavy Metal Football" kumning'inia Kaptula Chelshit......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…