Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

3 games without Jordan Henderson no wins . mliokuwa mnamtukana Jordan now mnaona umuhimu wake. Naomba hiyo j2 awepo maana
 



Msiwe na wasi wasi mtawagonga wakija kwenu tena kwa kapu la magoli .... ... ... ... .
 
Hakuna namna, na bado OT inakungoja hapo ni st.marys tuu chenga. Hand cap inawahusu weekend
 
Liver iliyokuwa inatishia naona now haipo tena. Tulikuwa tunatisha sana kwa kupiga short passes in tight spaces huku tukikimbia kuelekea goli la wapinzani. Ssa hvi naona Klopp anaamua kutumia wings kupiga cross ambazo binafsi leo ni mechi ya 5 mfululizo nimeshuhudia hazina manuufaa kabisa kwetu. Klopp akiamua kuanza kucheza tena zile one touch za haraka in tight spaces kama alivyokuwa akifanya awali na Coutinho, Firmino, Lallana, Mane na Origi na wengine basi tutarudi kwenye ubora wetu. Huu mpira wa kupiga krosi hautufai coz timu pinzani wamepaki basi so wanakuwa wengi kwenye boksi so kuclear inakuwa rahisi. Kingine Klopp aache mahaba niue na DS15 na Can maana wanatuumiza sana hasa hasa DS15 leo alitakiwa atolewe hata dakika ya 20 baada ya goli maana hii mechi haimfevi his type of play inahitaji mtu kama Origi. Can nae ni kidonda pale kati hataki kutoa mipira haraka na anataka kuwa Messi kwa kukusanya kijiji anaishia kunyanganywa mipira bora Wij aanze na Lucas maana kdgo hawa majamaa wako straight kutoa mipira. Ila kinachotu cost ni huu mfumo mpya wa Klopp wa kupiga krosi wakati timu pinzani wako kama 7 kwenye boxi, its madness kwa kweli. Kwenye timu za kupaki basi unapiga short passes za one touch huku mki move haraka in tight spaces, na mwanzoni huu mfumo Klopp aliutumia ukatusaidia ila aliyemdanganya ahamie kwenye krosi ndo anaishusha Liver now.
 
Naona bado mmeweka akiba ya wachezaji. Southampton kawanyoa eee. Poleni tu sasa.
 
Ndugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.

Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
Naona southampton hao wanaenda kucheza fainali mliyokuwa mnategemea duu. Mmenyolewa ngapi na southampton
 
Poleni sana wapendwa wetu tulipenda sana tukutane fainali ila Soton hawa wabaya sana,Soton jamaniii!!!! .......ila chance bado ipo kazeni buti[emoji85]
 
Hahaha tulijua ni povu tu la soda na ndo mana tukasema sisi hatufukuzi liva, arsenal wala siti, sisi tunafukuza chelsea, tulieni sasa tuwanyooshe j2
 
Jamani poleeee[emoji24] [emoji24]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…