Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

people writing off Karius.

the same people who wanted JK to buy a new GK.

The Circle of Liverpool fans.

from Mainz to LFC, he's feeling the Pressure, Archterberg doesnt help, and on top of that he has Lovern infront of him.

Jamie Carragher, slated Karius Y'day, but hakum-gusa Lovren hata kidogo, a CB, who played shit kuliko Lucas ambaye ni Natural DM. And he left out Henderson as well, a captain who hides when things gets mess, no leadership skills at all.

we always scapegoating players, nina uwezo wa kufanya hivyo pia, and i know how to moan vile vile. But C'mon lets enjoy our season, tumeanza vizuri (nani alitegemea). We've a very average squad to be honest, but we're up there competing na teams zenye kina Sanchez, De Bruyne etc. Cant you be proud of that? Moaned a lot wakat wa Transfer window, but Klopp katuprove wrong, katuaminisha kuwa football is all about Coaching and not buying players tunaowataka. DAMN! HE'S DOING A GREAT JOB, SUPPORT HIM.

Lovren been costing us games since he joined, but a young Karius is having a shocking start katika career yake ya LFC, tunatafuta room ya kum-scapegoat. Any LFC fan anajua kuwa Carragher became relevant Kwenye club miaka ya 2005, and on top of tha Hyppia and Agger gave him a Career. He was average CB, and thats why he recommended Lovren to Brendan Rodgers. Persuaded BR to pay £25m for Lovren.

Mane been off-form for the last 3-4 games, soon we'll start to see a lot of articles questioning his form, which will totally destroy his confidence, and then we'll start to ask ourselves what happened to Mane?? Only at Liverpool. Thats why we dont deserve good things.

The same people who wrote Karius off, are the same people who wrote Bobby off, and Bobby proved them wrong big time. And i believe Karius will do the same thing, simply because he's a talented young GK.
 
The TC, signed a very talented young Winger, Lazar Markovic, came to LFC, and had a bad start, tena kwasababu BR played him out of position.

sadily, the manager, fans and local journals, started to slate him and wrote him off totally. The kid lost his identity, and lost his confidence kabisa.

Markovic's career is ruined, and LFC fans are to blame for this, kama isingekuwa Klopp kitu kilichomtokea Markovic ndio kingemtokea Firmino.

Glad Grujic hajaanza vibaya, manake tungemwrite off tayari kama angeanza vibaya, na kusahau kuwa he's only 20. Mambo kama haya yanatokea LFC tu.

Moreno lol, Echo kila siku wanamuandikia Article, wanamponda Moreno na kum-praise Flanagan, but at the end of the day Klopp is still holding on kwa Moreno, while kampeleka Flanno, Burnley kwa mkopo na hana habari nae. But yeah, lets keep slating Moreno.
 
Mkuu MosDef sidhani kama tuna mlaumu sana Karius bali mimi bado napinga kuaminishwa kuwa Karius is far better than Migs .... we need change something kuna watu humu waliona kuumia kwa watu siyo tatizo eti we are not one man team ila nadhani jana tumeona tutamkosa hata mtu wa kuchange game when things get mess.

Unadhani hatutakiwa kuwalaumu klopp pindi atakapomuuza Sakho?

No Matip, we have terrible backline.

Deeply we have 'BIG PROBLEM' NOT 'PROBLEM' Klopp must work on it tuna fixtures mbovu January
 
it was just a bad patch. move on.

And Yes, Karius is overall a better keeper than Mignolet. Mignolet atarudi kwenye goal na kucheza 3-4 games vizuri na kurudi kuwa garbage, hiyo ndio circle ya Migs tangu ajiunge nasi.

lini umemuona Migs tangu ajiunge nasi akitoka for crosses? The same thing is happening kwa Karius? Kwann LFC keepers ni wazito kucheza/kutoka for crosses? Hili ni suala la Coaching. Mignolet is already ruined na Archterberg (completely) hatutakaa tumuone Migs wa Sunderland tena, Karius kaanza kupotea kwa kufuata instructions za Archterberg, Klopp can prevent this. Watching Bundesliga a lot and i can tell you Karius is a vey good goalie.

Couldnt care less kama Sakho akiondoka LFC, we need VVD, Tah or Súle, to partner Matip.

hoping fo Sakho to remain at LFC and play for Klopp again, ni kama ku-hope Messi kusign for Everton. Wont happen.

So weka tu kwenye mind yako kuwa Klopp wants another CB, and Gomez will be back in the first team squad before Sakho.
 
Yule Beki wa Southampton kama hatutoweza kubeba basi maoni yangu nafikiri Curtis Davies wa Hull City ni mzuri na cheap! najua wengi wanaongelea kutetea kipa ni mwanzo epl ila LFC muda wakusubiri umepita tunataka kipa makini now! ile game imetokea kufungwa kutoka 3-1 ni jambo jema tutajifunza Klopp namuamini bora kufukuzia tumeharibu basi top 3.
 
Huyu kipa alisajiliwa na Klopp? Kabla hajaja Liverpool kulikuwa na kipa ambaye mimi nilimuona mzuri kuliko yule wa jana ambaye mpira ukipigwa Ilala manzese nyavu zinacheza.

MosDef Sorry ila napingana na wewe kuhusu Karius ila nakubaliana na Kuhusu Sakho, Karius ndio ujerumani kafanya vizuri ila toka aanze LFC mie nilimuona mbabaishaji kwenye kudaka, LFC mie sikubali mabeki wabovu sana kama inavyoongelewa hata City Nao basi beki mbovu yule kipa alikuwa anapewa off sana na Matip na Lovren wakiwa mabeki nilikuwa kila nikimtizama nasema huyu hajapigiwa mashuti game moja mara 5 au 6 kali naomba apigiwe ndio nitamjua kweli mkali? omba yangu juzi haikuwa nzuri ndicho kilichotokea akafanya ujinga, Kama beki zingekuwa mbovu sana basi tungefungwa sana na huyu Karius, Kipa mZuri nyuma anakuwa kama Captain anaweka mabeki sawa anawapanga sawa hababaiki akipiga mpira hatakiwi kusimama pembeni sana ya goli, Kama Beki Matip akicheza unajua jamaa mtu mzima anapanga timu anaonyesha mikono anahakikisha wenzake akili zao zisilale. Karius namuombea awe sivyo navyomfikiria.
 
Huyu kipa alisajiliwa na Klopp? Kabla hajaja Liverpool kulikuwa na kipa ambaye mimi nilimuona mzuri kuliko yule wa jana ambaye mpira ukipigwa Ilala manzese nyavu zinacheza.
toka Reina aondoke LFC No.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo soka
Lkn najua hata ww unayaogopa MAJOGOO!
WHU atakiona cha mtema kuni
Umefungwa na Bournemouth na utachapwa na WHU. WHU wanajilimbikizia hasira ambazo watazimalizia kwa kuchinja majogoo ya Malafyale.
Sisi tunasubiri karamu.
 
Huku malivefool mbona kimombo tu. Ina maana wote waingereza ama. Ngoja nirudi kule uswazini kwetu
 
Huyu kocha alikuaje hapa
dea5973c2aaa35fff6a6ae780fc78942.jpg
 
MosDef Sorry ila napingana na wewe kuhusu Karius ila nakubaliana na Kuhusu Sakho, Karius ndio ujerumani kafanya vizuri ila toka aanze LFC mie nilimuona mbabaishaji kwenye kudaka, LFC mie sikubali mabeki wabovu sana kama inavyoongelewa hata City Nao basi beki mbovu yule kipa alikuwa anapewa off sana na Matip na Lovren wakiwa mabeki nilikuwa kila nikimtizama nasema huyu hajapigiwa mashuti game moja mara 5 au 6 kali naomba apigiwe ndio nitamjua kweli mkali? omba yangu juzi haikuwa nzuri ndicho kilichotokea akafanya ujinga, Kama beki zingekuwa mbovu sana basi tungefungwa sana na huyu Karius, Kipa mZuri nyuma anakuwa kama Captain anaweka mabeki sawa anawapanga sawa hababaiki akipiga mpira hatakiwi kusimama pembeni sana ya goli, Kama Beki Matip akicheza unajua jamaa mtu mzima anapanga timu anaonyesha mikono anahakikisha wenzake akili zao zisilale. Karius namuombea awe sivyo navyomfikiria.

naelewa kuwa Karius amekuwa shocking tangu ajiunge na LFC kutokea Mainz..

but kama ilivyo kwa players wa ndani, pia GKs wanakuwa Kocha, haijalishi kuwa keeper ni talented kiasi gani, kuna basics ambazo lazma afundishwe na Coach. Weakness ambazo Karius amezionyesha lately ni zile zile ambazo anazo Mignolet. Hata kama mtu hafatilii LFC akiwaona hawa makeeper wawili atajua tu kuwa wanafundishwa na Kocha mmoja. Lazima tujue mzizi wa tatizo ni nini? Kama tu Reina turrned into Bogdan chini ya Archterberg itakuwa kwa hawa kina Migs? Kuna tatizo LFC, na linahitaji kufanyiwa kazi.

And we gave Migs 1 season to prove himself, we never wrote him off, then why tumkatake Karius baada ya games 6-7? Thats not fair Pazi.

I will admit kuwa nilikuwa wrong about Karius kama akiendelea kuwa shocking baada ya msimu mmoja. But for now nampa nafas yake
 
So hata kama akija Valdes,De gea,Czech or the likes ataishia kuwa ruined na huyo kocha wa makipa?Yani kama kipa tayari hana udhaifu wa kucheza crosses akija liverpool atakuwa hawezi cheza crosses?

Mimi nadhani pia makipa tunaokuwa nao ni tatizo.Tunahitaji kipa mkubwa proven kuweza kurudia era yetu.Sio talented one with potential to improve ambaye anategemea ataambiwa nini na kocha wa makipa afuate tu kama kondoo.Yaani yeye yupo empty kabisa hana individual skills.

Sioni kuwa ili muwe na kipa mzuri ni lazima muwe na kocha mzuri wa makipa.Oliver Khan,Ochoa,Smeichel and such great golie sidhani walihitaji kocha mzuri wa makipa kuwa kama walivyokuwa.
 
sidhan kama kuna shabiki yoyote yule wa football duniani ambaye haujui umuhimu wa GK's Coaches katika game. Sorry bro lakini sikuitegemea aina hii ya post kutoka kwako.

its very clear kuwa Pepe Reina started to struggle baada ya Archterberg kuja LFC, mwaka 2009, from there mpaka Reina anakuja kuondoka LFC, alikuwa kishaisha vibaya mno. Sidhani kama kuna LFC fan ambaye halijui hili.

We paid £11m for Mignolet, hicho ni kiasi kikubwa sana kwa keeper, but tulimchukua kwasababu kukeep clean sheets kwake ilikuwa ni kawaida, tena akiwa katika shit team, Mignolet alikuwa ni keeper mzuri, wapenzi wengi wa EPL watanisaidia kwa hili. But kaja LFC, mwezi mmoja tu baada ya kutrain na Achterberg, Migs akaanza kufanya silly mistakes, kikubwa kilikuwa ni kushindwa kufuata mipira pale inapobidi. Mpaka leo hii, he's not the same keeper ambaye tulikuwa tunamjua.

i knew Karius, na hata kama kuna LFC fans yoyote ambaye anaijua Bundesliga atakwambia kuhusu Lloris Karius, he's decent, good goalie, watu mnao mslate jamaa yawezekana hamjawahi kumuona akicheza kabla.

umemuongelea De Gea hapo, and sadly hujui ni nani ambaye kamfanya De Gea awe hivyo, De Gea tangu yupo ATM alikuwa anafundishwa na Best Coaches, De Gea kapita kwenye mikono ya Emilio Alvarez, De Gea kafundishwa na ERIC STEELE (One of the Best GK's Coach the world has ever seen), Eric Steele ndio kawafundisha kina Peter Schmeicel na Edwin Van Der Sir (unafikiri De Gea kawa vile kwasababu ya talent tu?), kipindi cha Van Gaal tulikuwa kila siku tunaongea humu kuwa De Gea anaiokoa sana Man utd (De Gea alikuwa kwenye peak kubwa sana kwenye reign ya Van Gaal) but unajua nani alikuwa nyuma ya De Gea? Ni FRANK HOEK, nani asiyeijua kazi ya huyu jamaa katika coaching ya GK's? Huwez kuwa garbage kama umepita kwenye mikono ya watu hawa.

Petr Cech ataongelea vipi ubora wake bila kumtaja Lollichon? (he made Petr Cech)

Au huyo Oliver Kahn ataongelea vipi career yake bila kumtaja Andreas Koepke? Atawezaje kumuacha huyu jamaa??

hawa wote ni one of greatest GK's Coaches, na ndio wamewafanya hawa keepers kuwa hivi tunavyowaona.

Keeper lazima ucheze kwa instructions, keeper anafundishwa Positioning, Catching, diving, Footwork, playing crosses, reading the movements kutokea kwenye half ya mpinzani, kukaa kwenye line when it matters, Commanding, playing 1 to 1 (one of De Gea's best strength, every GK ambaye kafundishwa na Eric Steele hii ni moja ya strength yake) etc, its not just a talent. And ukiangalia kwa umakini utajua kuwa Mignolet ni very good Shot-stopper but siyo good Goalkeeper, Goalkeeping inahitaji vitu vingi, na ndo maana kukawa na Coaches.

kwenye football kuna positions TANO ambazo ni lazima ucheze kwa instructions (GK, LCB, RCB, LB, RB, DM) coz these positions are the base of the team.

You dont need a rocket science to know that Archterberg is responsible for Liverpool's Goalkeeping disaster.

and we should learn to SEE the Game, not just WATCH it.
 
Keeper game ya 8 sasa no improvement at all
Huyu hapana aisee
Chukua hata Begovic mzoefu fanya kipa namba moja!!
Kweli kabisa.Hakuna mafanikio bila kuwa na kipa proven.....sio kocha wa makipa proven.Sorry kwa tunaotofautiana kwenye hili.I need no lecture to understand this.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom