Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Countinho anaweza asicheze gemu ya kesho baada ya kuonekana jana akiwa hospital.hii gemu imekaa kimkosi mkosi tukishinda hii ubingwa ni wetu bila shaka.
Nadhani haina uzito sanaCoutinho & lallana in doubt for the Saturday game
Dahoud is a no go...at least for JanuaryMkuu Usisikilize Rumours Za Mitandaoni, Mpaka Sasa Barcelona Hawajafanya Aproach Yoyote dhidi Ya Coutinho Wala Hawajalifikiria Hilo La Kumsajili Coutinho...
Wao Wenyewe Barca Kwasasahivi Wamekumbwa Na Ukata Wa Fedha Baada Ya Kuwasainisha Kina Neymar Mikataba Minono...
Sasahivi Wanahaha Kutokana Na Kushindwa Kumpa Mkataba Mpya Messi Kwa Kutokuwa Na Pesa Za Kutosha za Kumsainisha Mkata Wa £39M kwa Mwaka Baada Ya Kuwatilisha Mikataba Mikubwa Kama Hiyo Baadhi Ya Wachezaji na Hivyo Kufanya Bajeti Ya Timu Yote iende Kwenye Mishahara...
Sasa Barca Wanachokifikiria Ni Jinsi gani Watakuza Mapato Yao na si Kumnunua Coutinho ambaye Klopp Anaweza Kumuuza Kwa £80 to 75M, na hatamuuza Chini ya £70M...
Bali Klopp January Ni lazima Atasaini Kuzijaza Sehemu Tatu Za Timu ambazo ni:-
1) Winga/Striker Kucover Nafasi Ya Sadio Mane Atakapoenda Afcon..
2) Centre Central Midfielder/Defensive Midfielder (High percentage to be Mahmoud Dahoud).
3) Half Back Four: Ambaye Kwa Aslimia Kubwa Ni Jonathan Tah (Hii ni Kutokana na Criticisms inazozipata Defence Line Yetu Hasa Wale Central Defenders Ya Kuconcede Magoli Mengi Jambo Ambalo Linaonesha Kuwa Safu Ya Ulinzi Haijawa Strong! Kwahiyo Klopp Anaendelea Kutafuta Mtu Wa Kusimama Na Matip..)
leo kuna uwezekano mkubwa tukacheza 4-3-3 huku Sturridge akicheza kama striker.sitashangaa pia iwapo dogo Ejaria akacheza namba ya Countinho badala ya Wijnaldum,kikosi bado ni kikali sana bila ya Lalana wala Countinho na kinaweza kikawa hivi....
Goalkeeper: Loris Karius
Defence: Nathaniel Clyne, Dejan Lovren, Joël Matip, James Milner
Midfield: Jordan Henderson, Emre Can, Georginio Wijnaldum
Attack: Sadio Mané, Daniel Sturridge, Roberto Firmino
FistRow Live match.com......Unachagua link 3,4,67 na 8 ni nzuri sana full HD kama unatumia net nzuri.Wakuu naomba mniambie live stream ninayoweza itumia ni ipi
Asante mkuuFistRow Live match.com......Unachagua link 3,4,67 na 8 ni nzuri sana full HD kama unatumia net nzuri.
Totalsportek.comWakuu naomba mniambie live stream ninayoweza itumia ni ipi
Tafuta google app inaitwa Mobdro uangalie mechi live wewe....kwenye smartphone yakoWakuu naomba mniambie live stream ninayoweza itumia ni ipi
Gini na Can hapa katikati leo wanazingua,wanashindwa kupeleka mbele mipira faster...