Barret saying we're scouting Sardar Azmoun, Klopp alisema atahitaji kusajili baadhi ya wachezaji January, kwasababu ya Mane kwenda AFCON na Majeruhi ya Ings. I guess Klopp anaweza akawa anamfikiria Azmoun kama Replacement ya Ings kwa hii January, BUT to be honest Azmoun is not good enough, though Klopp anaamini katika kuimprove players, but kuna wengine wapo zaidi ya Azmoun. Heard we're also scouting Boca's Cristian Pavón, huyu ndo anafaa, na itakuwa ni good move kwa upande wa valuation. Kati ya Azmoun na Pavón, no doubt kuwa Pavón ni mzuri zaidi, really talented as well.
I'd take Pavón.
We need wingers (kucover eneo la Mane) and Klopp wants Pulisic, but cant see Pulisic moving january hii, unless kuwe na massive offer, wote tunamjua Klopp huwa hasign ilimradi tu, kama atakosa winger anayemtaka, anaweza akasubiri mpaka summer. Kwenye game ya Watford niliona akimjaribu Wijnaldum kwenye ile advanced role, so kama ataamua kucheza na Wijnaldum katika advanced role hiyo January, tunatakiwa kuombea Hendo na Can wasiumie. Gini can play very well kwenye eneo la kushoto (tatizo litakuwa ni pace tu, but kuhusu Goals, Gini ni "King of Tap-ins", akikaa kwenye advanced role muda wote anakuwa ndani ya box la adui (kama akiwa hana mpira), tuliona kwenye game ya Watford na alifunga pia) pia we can play Origi kwenye hilo eneo, and most of all we need to Keep Daniel Sturridge fit, ni asset kubwa sana kuanzia January (ligi ikianza kuchanganya).
Inaonekana tutajaribu kusign two attackers in January, and Dahoud pia. Suala la Klopp kuendelea kumng'ang'ania Dahoud inaonesha kuwa bado hajamkubali Henderson. Kuhusu LB nahisi itakuwa mpaka Summer.