Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa anaingia sterridge anatoka lalana...dk ya 70. Still 5-0. Tunahitaji clean sheet hapa...
 
Naona msimu huu kombe linanukia kwa mbali, nitafurahi sana iwapo msimu huu tutachukua kombe maana toka ninaishabikia liver sijawahi iona inavyochukua kombe la ligi kuu ya uingereza maama nimeanza kuishabikia liver toka mwaka 1993.
 
Wamekula sita hata kumi leo wangeondoka nazo leo Sturridge a.ka. mavugo amekosa magoli mepesi leo
Sturridge atabaki kuwa wa benchi tu...hadi kukuche ndo anaingia nimemuona klop hakupenda game baada yake kuingia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…