juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
IV arsenal SI mna Uzi wenu,huku umeweka kambi kutafuta nn,jamani tumpotezeeni na hakuna kahangaika naeHahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
kumaliza no. 4 na kushiriki UCL bila kushinda kikombe tofauti yako na aliyemaliza no. 8 ni kuwa 'wewe ulikuwa bize kusafiri'Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
tumewaachia mpaka angalau mpate kimoja au ata nusu kama ipo ndio wenye Mashindano yetu tuje tena.Hahahaha kila mtu ana namna yake ya kujifariji. Arsenal tunajifariji kwa kutokukosa top 4, nyie mnajifariji kwa kutoipata top 4 as the result mnafukuzana. Kama unaweza kuitafuta ndoo ya UCL kwa mara ya 6 kwa kumaliza top 8 be my guest.
hahaha kichwani Chelsea moyoni Chelsea nimechekaaaa muno hahahahahaaahahahh",...!!!Yaani Mtu Amekuwa Moga Kiasi Hichi..!!!!
Nilifikiri Ni Pekeyangu Nilieoona Kuwa Juzi Liverpool ilipocheza Palace ilicheza Mpira Wa Ajabu ambao Kwa Akili Ya Kawaida Huezi Kuamini Kama Binadamu Wanaweza Kuucheza! Kumbe Mpaka Wapinzani Wameona 😀😀😀😀😀 .......!
Musiogope Yule Ndiyo Klopp Mfalme Wa Kutengeneza Timu ikawa na Pace.....
Unajua nini maana ya Pace??
Maana ya "PACE" ni → "Consistent and Continuous Speed in Running"......
Sasa Wanavyocheza Liverpool si Ajabu Bali JK kawatengeneza Waweze Kuwa Na Pace na Kwa Mara Ya Kwanza imefana Zaidi Katika Mechi Yetu Ya Palace...
Na Ndiyomaana Kuna Wachezaji Ndani Ya Liverpool Wana Vipaji Lakini Watakaa Benchi Kwa Kutokuwa Na hii Pace.....
Kwasababu ili uendane na Mfumo wa Klopp ni lazima uwe na Pace....
Na Mtu Wa Kwanza Kuadapt Mfumo wa Klopp ni Sadio Mane Ambaye Alionesha pace siku ya Arsenal... Baadae Akafuata Cout ndiye Mtu wa Pili Kuadapt Pace ya JK...
Na Kuna Mtu Mmoja Anaitwa Moreno (Fullback left) ana pace ya Ajabu lakini Kinachomharibia na Kukosa Trust ya JK ni kwamba Hajui Kulinda... Ni Tofauti na Milner! Milner anajua Kushambulia na Anajua Kukaba..
To be honest Moreno Kwa Kushambulia na Kueka Zile Kross na Pace ni Bora Kuliko Milner.. Ila Hatumuamini Moreno na Mimi Binafsi Siko Tayari Apangwe Kwa Sababu Hajui Kulinda.. Akishapanda na Mpira Ndiyo Kapanda.. Kurudi Anajisahau..
View attachment 427696
Huyu nae wakupiga bei tu akacheze championshipTutamkosa Ings msimu mzima tena knee injury against Totts kwenye ELF.
Dogo alikaza kurudi vema ila bahati si yake
View attachment 428259
Si mbaya, tunamuombea apone haraka, uzuri Liverpool asaiv ikitoka namba inaingia namba na sio herufi, ndoo mwaka huu ni yetu, kwa mashabiki wa Simba wa humu pia tunabeba kotekoteTutamkosa Ings msimu mzima tena knee injury against Totts kwenye ELF.
Dogo alikaza kurudi vema ila bahati si yake
View attachment 428259
rubaman ktk soccer elites wa Ulaya Arsenal hawamo
Kwa Ulaya ranks Arsenal wapo sawa tu na akina Atletico Madrid
No even single kombe la CL hata UEFA!!
Liverpool ni kundi sawa na akina Madrid,AC Milan,Juve,Bayern na Barca
Kuna kundi la pili akina Man u,Chelsea na akina Monaco huko
Asante mkuu apa nimekupataMkuu umetema madini
Asante Kwa kutoa somo
Huwezi kuwa elite wa Europe wakati huna hata ndoo moja Ya UEFA Champion League
nasikia PSG wana mtaka pia, Barca naona wapo determined kweliOctober...., player of the month
[emoji145] "Philippe is a magician" says Firmino.
“We always understand each other in the games."
View attachment 428964
De lima mwezi uliopita alimwambia 'muda wa kucheza Real Madrid umefika' tukiweza mtunza huyu sijui? .... ila nahisi Suarez anampampa maneno ya Spain hukonasikia PSG wana mtaka pia, Barca naona wapo determined kweli
nasikia PSG wana mtaka pia, Barca naona wapo determined kweli