SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
I think he has a breath at OT.
The fans pressure has not been that too high.
They should be then be bracing for finishing in mid table this season
I think he has a breath at OT.
The fans pressure has not been that too high.
Ahsante kwa mwaliko huu. Kwakweli inatia matumaini...Jana Pulis alipigiwa mpira mpaka akachanganyikiwa ndani ya dk 15 za mwanzo wa game amemaliza sub zote
Pulis. Aliangalia sana ile game yetu na Man utd na yeye akaset up timu yake vile vile kama mourinho mbaya zaidi Liverpool lallana alianza na tukatumia quick passes na counterattack kumfunga na bado tulikuwa tunapossess mpira.
Man utd did a great jib kutoka na point anfield ile jumatatu. WBA walikosa valencia na baily
Naona tuna improve kidogo kwenye defense, kwenye game na man utd tulitoa kona moja tu throughout the game, na jana kona moja au mbili, ni good progress sasa kazi inaamia kwa crystal palace next Saturday
Janjaweed , The Boss ,Asprin njooni naona kama kuna uelekeo mzuri huku
Hahahaaaa labda aumie kama the lucky man lucasUnless itokee dramatic u-turn, Sakho's career at LFC is edging to a sad end.
Lets talk about Michael Owen; he tried kurudi LFC,
But tuna tough game na tottsCrystal palace tutawafunga kwao kwa kuwa wanacheza mpira wa kufunguka.Watakuja sana golini kwetu kutaka kufunga na kuondoka ns poit zote following their recent results.Kasi yetu itatusaidia kuwafunga kwa transition.
Benteke ndio anaweza kutufunga lakini goli lake litakuwa la kufutia machozi.Point tatu zote tutazichukua ukizingatia hakuna internatinal break hapo katikati
Nikimuona owen huwa nabadili hadi channel, I just brand him 'Judas' .... alini-disappoint sana.
Hivi bado tu ni official ambassador?
Kinafiki sana sikipendi mie siku hizi juzi kajifanya alitaka Liverpool ishinde ligi ilivyoanza alikuwa anasifia United! akitangaza mpira lazima uweke Mute! Benitez alipatia kukauzia mbali.Nikimuona owen huwa nabadili hadi channel, I just brand him 'Judas' .... alini-disappoint sana.
Hivi bado tu ni official ambassador?
Klopp: "'Who needs clean sheets when you get three points?"
Hahah Klopp said this to the press. But in the dressing room, they (Klopp and Players) both talk about & aim for the clean sheet.Klopp: "'Who needs clean sheets when you get three points?"
Nikimuona owen huwa nabadili hadi channel, I just brand him 'Judas' .... alini-disappoint sana.
Hivi bado tu ni official ambassador?