Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Crystal palace tutawafunga kwao kwa kuwa wanacheza mpira wa kufunguka.Watakuja sana golini kwetu kutaka kufunga na kuondoka ns poit zote following their recent results.Kasi yetu itatusaidia kuwafunga kwa transition.

Benteke ndio anaweza kutufunga lakini goli lake litakuwa la kufutia machozi.Point tatu zote tutazichukua ukizingatia hakuna internatinal break hapo katikati
 
hata mimi nayaona magoli mengi sana kwenye hii mechi.
 
Lets talk about Michael Owen.

Suala lake la kwenda Man utd, lilifanya tufute kumbukumbu zake zote alizoifanyia LFC, but to be honest, Michael owen ni one of greatest strikers ambao tuliwahi kuwa nao.

Ofcourse kwenda kwake utd, kuliinua chuki kwa mashabiki wa LFC, na tangu siku hiyo Michael Owen amekuwa kama Stranger kwa LFC fans, i can say status yetu sisi LFC fans kwa Owen haina tofauti na ile ya kina Milan Jovanovic. I admit mimi pia nilimchukia sana Owen, simply because he went to utd.

But baada ya muda mrefu alitoa dukuduku lake, alisema he tried kurudi LFC, alijaribu hata kumuomba Carragher aongee na wahusika ili apate nafasi ya kurudi LFC, but we rejected him, then Fergie akamfata, i mean at that time wakat career yake ishaisha, Owen was a nobody kipind kile, na BOOM anapewa nafasi ya kushinda Premier league title na Fergie, angekataa? wakat kishaomba kurudi LFC na tukamtosa? Lets be honest here, even Our greatest player ever (in my opinion) Steven Gerrard tried to leave us for Chelsea (sad truth). Sababu ya msingi ilikuwa ni kushinda PL title. Shit happens kwenye football.

So lets just move on. Michael Owen anajua alifanya mistake, thats why he's trying so hard kujirudi right now, he had no choice to be honest. A lot of LFC fans (including me) bado wanampenda Luisito, but damn man tried to leave us for Arsenal. Torres left us for Chelsea but sijawahi kumchukia, matter of fact he's my favorite LFC striker to ever wear the famous red jersey.

I've decided to move on kuhusu Owen. As a LFC fan nishapitia a lot of dissapointments, but sijawahi kurudi nyuma au kuichukia club.and will never trade this club for anything. Maybe naweza nikaitrade na Simba SC or Kaizer lol (btw i happen to follow Simba and kaizer aswell) so my fellow Redmen ambao mnasupport Yanga na Bucs me ni rival wenu mkubwa kwa hili eneo jingine loooool hahaha. Barcelona wakipoteza game naumia pia. Fan of Al-Ain pia.

But i've to admit what matters the most ni Liverpool football club. Happy to say me ni supporter wa LFC siyo fan wa LFC. And nitamtambua Owen kama Legend mmoja wapo wa LFC.

Kama Utakuwa Aware Mwanzoni Mwa Msimu Michael Owen Alilikoroga Zaidi Kwa Washabiki Wa Liverpool Baada Ya Kuandika Katika Ukurasa Wake Wa Twitter Kuwa Man United Ndiye Atakae Kuwa Bingwa Wa Msimu Huu!
Kiukweli Hata Mimi Sikupenda Na Nilimreply Kwa Hasira Kabisa... Na Mashabiki Wengi Walihoji ni Nani Aliyepeleka Proposal La MO kuteuliwa Kuwa Balozi Wa Liverpool (May be Asia)...
 
Owen ni pundit kwasasa, unapofanya kazi kama pundit ni lazima uwe neutral, leo unamuona Gary Neville ambaye wakat anacheza mpira kuja Anfield ilikuwa kama anakuja msibani, ni mchezaji aliyekuwa anapata sticks sana Anfield. But kwenye kazi yake ya sasa yupo neutral, mara kibao amekuwa akiisifania LFC na kuipa chapuo la ubingwa na top four.

Utd signed zlatan, Pogba and Mkhitaryan. Hata mimi kwq hizo signings tu nilikuwa najua huu msimu watakuwa na mafanikio zaidi. Na ndo kitu ambacho hata Owen alikidhania pia. Team ambayo inatoa £89m for a player ni lazma ipewe chapuo la ubingwa.
 
you got to be kidding me
 
Strange days!
Even Paul Scholes is amused by the brand of football that LFC are playing this season
Ynwa
 
ee0f6cd9d687f704645c322a7fee2f75.jpg
city kadroo, ligi ya safarii hii itakuwa tamu sana
 
Kilichomzuru Benitez na LVG ndiyo Kinachomzuru Gurdiola...

Last Month Katika Press Conference ya Pre-match Nilimsikia Gurdiola Akiwaambia Waandishi Wa Habari Kuwa "LIGI KUU YA UINGEREZA NI LIGI NYEPESI SANA UKILINGANISHA NA YA SPAIN & BUNDESLIGA"

Tokea Aitoe Kauli Hiyo Alianza Kusuasua mpaka Kufikia Hii leo... Sasa Kinachomzuru Ni Kama Kilichowazuru RB na LVG kuto kukubali Ukweli Kuwa Ligi Kuu ya Uingereza Ni Tofauti Kabisa na Ligi Nyengine Barani Ulaya... Ni lazima Kocha Abadilike Na Aendane Na Mfumo Halisi Wa Ligi Husika! Venginevyo Utageuzwa Jamvi...

Ni Wazi Kuwa Gurdiola Anaoneshwa Uhalisia Wa Ligi Ulivyo... Na Akumbuke Kuwa Kuna Liverpool, Chelsea na Arsenal Wote Wanamsubiri Wamuoneshe ligi inavyochezwa...
Thanks Sanderland...
 
Tukimpiga race kama ile tuliyompiga Chelsea lazima atuachie 3 au 4.

Analeta ubarcelona EPL?....mapema kabisa kashasahau kusheherekea ushindi.

Droo ya leo inatuweka sehemu nzuri, hata sisi tupo juu na matumaini ya kuongoza ligi yapo.

Siyo sawa na misimu ya njaa, mida kama hii tupo nafasi ya 7 au 8.

Y......................................N............................................W...........................................A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom