respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
tumerudi ila uwanja umejaa maji leo kweli si siku nzuri kwetu tusizarau.
Ila nini mrembo?Hongereni bana ilaa[emoji40] ......
Ahsante, gemu ilikuwa tight sana!Hongereni bana ilaa[emoji40] ......
Hellooooooo!Visingizio huwa havikosekani..
Kwahiyo ukijaa maji ndo inakuwa siku nzuri kwa Swansea??? Kwamba swansea wanauzoefu wa kucheza bwawani...!!!!
Kama hujui,hujui tu.. Ila kubahatisha kupo!!
BACK TANGANYIKA
mwambie aseme tu ila akisema akumbuke na kutizama chaupande wa pili pia walipataje goli?Ila nini mrembo?
Na hiyo ni dalili nzuri coz siyo kila siku tutakuwa tunashinda kiulaini...sometimes we struggle like this, muhimu points tatu kibindoni!Ushindi wa leo ni wa kupambana sana.Kati ya zote tulizoshinda,leo tumestruggle sana...
na kama hujui unachoongea hujui tu 3 points LFC YNWA! tulitoa zarauVisingizio huwa havikosekani..
Kwahiyo ukijaa maji ndo inakuwa siku nzuri kwa Swansea??? Kwamba swansea wanauzoefu wa kucheza bwawani...!!!!
Kama hujui,hujui tu.. Ila kubahatisha kupo!!
BACK TANGANYIKA
..usiongezee neno,Game is sealed Tayari [emoji4]Hongereni bana ilaa[emoji40] ......
Haendani kabisa ana ruka ruka tuWakuu nashukuru tumeishinda ila naona kama struridge kama haendani na kasi yetu vile.....au mimi tu macho yangu
tunampelekea sana Mane kuliko Stu kunasehemu nyingi alitakiwa apewe pasi za yeye kuzama nao ndani ila naye awache ubitozi! Sturidge akija kuzipata nafasi tutafurahi!Wakuu nashukuru tumeishinda ila naona kama struridge kama haendani na kasi yetu vile.....au mimi tu macho yangu