prober ze good
Senior Member
- Aug 14, 2014
- 163
- 181
Shukrani!!!kwa ufundi wa dogo akijitokeza mwenye dau kubwa Klopp apambane kama kwa Aubameyang,atatusaidia sana ninavyoona.Hawawezi wale..na Juve hawawezi toa £35m+ for him, they're packed kwenye midfield.
Ninachohisi ni kwamba kama ikifika January, na bado hawajasettle ishu yao ya mkataba..higher bidder yoyote anaweza akamchukua..nadhan kama City wakiwa interested anaweza akawa tempted. But Klopp anaweza akamu-assure muda wa kucheza, kitu ambacho kitakuwa kigumu kukipaata City, considering form ya Fernandinho kwa sasa..tuna nafasi kubwa sana ya kumsign..nadhan BMG hawakupendezwa na Tap-in aliyofanya Klopp..but tutampata tu. He shares the same agent with Emre and Yesil.
Hahaaaaa...... Asante mtani, naona umeongea kwa unyonge sana. Pole kwa vile vipigo..... nyie mtatupiga kwenye utajiri tu lakini kwenye pitch habari yetu ya mtu 1Ku-cover 13km mtaijua vizuri October hapo. Hata SAF amenza kupata kigugumizi...Mwaka wako huu jidai baba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtani yaani umeanza matambo kama my kaka Malafyale jamaniii kweli kushinda kutam!!!!!!Hahaaaaa...... Asante mtani, naona umeongea kwa unyonge sana. Pole kwa vile vipigo..... nyie mtatupiga kwenye utajiri tu lakini kwenye pitch habari yetu ya mtu 1Ku-cover 13km mtaijua vizuri October hapo. Hata SAF amenza kupata kigugumizi...
Hahaaa usiombe tena ushindi wa ugenini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtani yaani umeanza matambo kama my kaka Malafyale jamaniii kweli kushinda kutam!!!!!!
Hahahhha ohhh yeah You never walk alone!!!Hahaaa usiombe tena ushindi wa ugenini
ile jezi yetu niliyokupa uwe unaivaa hadi mtaani siyo wakati tukiwa tunaangalia mechi pekee yetu[emoji41] [emoji41] .
Bado tukaribie Darajani?Karibuni darajani sehemu sahihi katika maisha ya binadamu (the blues forever)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora nimekupa mada ya kukimbia istoshe siwez rekebisha ikiwa mtukufu kinampiga chenga sembuse mimi[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Shukrani mkuu[emoji4]Inaonyesha ni kiasi gani Wewe ni ****** wa soccer
Sio Gelard[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Gerrard
Kajifunze uandishi kwanza kabla hujaleta pumba hapa
Keep in mind that LFC ina wenyewe
LFC is more than a football club...,,,it's a tradition, son.
Dropped 2 easy pointsIle mechi ya spurs inaniuma sana,
Ni kweli, hivi vitimu vya dizaini ya kina Hull City ni kupita tatu na kuendelea ili kutengeneza goal difference nzuri!Dropped 2 easy points
Lkn nduyo soka mkuu,tusahau tusonge mbele!Hull City bila bao 3 nitamshangaa JK
Lkn msimu uliopita JK alisumbuka sana na vitimu vidogo!Hata game na Burnley ilimshinda na huo ndiyo wasi wasi wanguNi kweli, hivi vitimu vya dizaini ya kina Hull City ni kupita tatu na kuendelea ili kutengeneza goal difference nzuri!
We dont need you here!LIVE FOOLS.....Wanachojua ni kukamia timu kubwa tu
Hebu na wewe kamia timu kubwa tuone. Nani kakukataza?LIVE FOOLS.....Wanachojua ni kukamia timu kubwa tu
sasa hivi mnasubiri kuwafunga man city na man united......ndio mechi pekee mnazoshinda nyingine mnaangukia pua.....LIVER FOOLS..Hebu na wewe kamia timu kubwa tuone. Nani kakukataza?
Labda nikubaliane na wewe kwamba Liverpool tunakamia unazoziita timu kubwa, Fine hiyo ndio technique yetu ya mchezo, Chelsea na Man U technique yao ni kupaki basi, je kuna mtu ameshawahi kuwalalamikia?
Jaribuni na nyie kumkamia Barcelona kama mtamfunga, au hamtaki kumfunga ndio maana huwa hamumkamii?