Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ndoto hii inaweza kutimia msimu huu Mkuu?
Kama JK atapata mbinu za kuzifunga teams so called ndogo tunakuwa mabingwa mwaka huu!Kumbuka kuwa JK atazifunga hizi Man City na United kiurahisi tu
Nikiifunga Hull bila tatizo na teams Kama WBA au Watford nakuwa bingwa
 
Haya ndio matatizo ya Liverpool, huwezi kubet kuwa watashinda. Hata Pazi mwenyewe leo atakuwa hajakwendwa mitaani lol.
Wakati nilipotaka kuanza kujiaminisha kuwa leo wanaweza kushinda...wakanikumbusha kuwa wao ni majogoo wasiowika... hukawii kuona wanakuja kufungwa hii mechi
 
Daaah tumefungwa bao rahisi sana jamani!Matic anaingia kiurahisi sana
 
Kama JK atapata mbinu za kuzifunga teams so called ndogo tunakuwa mabingwa mwaka huu!Kumbuka kuwa JK atazifunga hizi Man City na United kiurahisi tu
Nikiifunga Hull bila tatizo na teams Kama WBA au Watford nakuwa bingwa
Kabisa!
 
Dah mkuu ulipitia JKT Makutupora nini? Mbona unakuwa na moyo mgumu hivi..

Yaani hiki kimeo kiifunge City na Utd tena kirahisi kabisa?
 
Mkija kucheza soka la heavy metal pressing na Liverpool tunawafunga kiurahisi tu
 
Dah mkuu ulipitia JKT Makutupora nini? Mbona unakuwa na moyo mgumu hivi..

Yaani hiki kimeo kiifunge City na Utd tena kirahisi kabisa?
Kwani itakuwa ni mara ya kwanza?
Hilo jiji la Manchester na jiji la London yote tunayavuruga tu!
 
Lucas atawapa Chelsea advantage, ingawaje Coutinho was no existence mechi nzima
 
Conte sasa ameanza kuijua EPL ilivyo, bado Pep zamu yake inakuja. Congratulation Loserpool.
NB- Page Pazi jitokeze mkuu mmeshashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom