MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Hata Lovren ataanza Ijumaa
What as depth?
Lovren na Matip na mbele yao Can kama atapona au Lucas ataendelea
Mbele Dan atasubiri sabababu Coutihno atakuwa 100% fit
Na uchovu wake wa masaa mengi angani alipo ingia akaupiga mwingi sana!!
Yeah.
Ijumaa, itakuwa ni Matip-Lovren, hakucheza jana kwasababu alipata matatizo kidogo Ijumaa kwenye training, so Klopp akamweka pembeni kabisa ili ijumaa awe fit. Nadhan J3 ataendelea na mazoezi kama kawaida.
Can kafanya mazoez kwanzia Alhamis..ila hakuwa match fit, so Ijumaa atakuwepo..Can, Hendo na Lallana ndo utakuwa midfield..ni vizuri amerudi Aisee.
Ijumaa, DS akianzia bench malalamiko kwenye vyombo vya habar yataanza tena, people wanatakiwa waelewe kuwa kwenye away big games, Firmino lazima aanze, hata kama hafungi lakin pressing yake inatusaidia sana, DS cant press..ndo maana Klopp anamwanzisha kwenye game za home. Na klopp anajua DS ni our important player na anajitahid kumweka injury free..but english medias kutwa zipo na LFC, zina agenda na LFC.
