Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,328
Nimeona picha kule Facebook aliumia hicho kwenye mazoezi...Kuna nn kuhusu Lovren?
Mbona hata bench hayupo wkt hakucheza game ya Croatia?
Nimeona picha kule Facebook aliumia hicho kwenye mazoezi...Kuna nn kuhusu Lovren?
Mbona hata bench hayupo wkt hakucheza game ya Croatia?
Kumbuka mechi ijayo tunacheza na Chelsea, na sisi timu kubwa hizo ndiyo vibonde wetu!Liverpool mmewapiga jamaa vibaya. Sitashangaa kama mkicheza hovyo mechi ijayo..
Kumbuka mechi ijayo tunacheza na Chelsea, na sisi timu kubwa hizo ndiyo vibonde wetu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] conte ameanza kuwa mshindani wake![]()
Liverpool manager Jürgen Klopp seems to be enjoying his team’s performance.
Kwi kwi kwi lol! Jamaa huyu ana midadi ile mbaya
Tungefungwa leo ingebidi tuhame kabisa anfieldLiverpool mmewapiga jamaa vibaya. Sitashangaa kama mkicheza hovyo mechi ijayo..