SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Mughone ubhukatale
humu ndani wapo kopities hawanifurahishi kabsaaa
vijembe vingi mno",.. tukifungwa moja tyu huku Moira ukiendelea.Tukisawazisha makosa yanaendelea ila huwaoni.
Tuache uoga,.. huu msimu hatareee mno
ni mwendo wa point tatu ukiangalia magoli unaweza toka na magoli bila point.
yawezekana hizi point tatu zikatuweka kwenye tittle race.
Zaidi klopp alete beki tatu,.. ili Moreno apelekwe wing na kubaki back up,.. DM ya maana. hapo moyo utaacha kukurupuka rupuka wakati was Game.
YNWA
Sema ila celebration ya Mane na Klopp. Dah imenisisimua kwakweli.
Sema ila celebration ya Mane na Klopp. Dah imenisisimua kwakweli. Kwa Mane, Klavan, Wijnaldum, narudia tena tumelamba dume! Ila Henderson kama kawa ni mchezaji basic sana. Hana maudambwidambwi wala hamasa. Anacheza mpira wa darasani. Ukimbana hana ubunifu. Yaaani taaaabu!