Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Viungo wakali LMAO.. Viungo wakali ndio wakina Henderson, Milner Looooh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
naona ya JK na BR
JK spent £61M received £27M",..(waiting,..)
BR spent £117M received £83M (with no cup)

*Liverpool Miss Leadership in the squad* kauli ya JK
huenda akafanya uteuzi wa Nahodha mpy kama sio wapya
kamzungumzia Sacko,Matip Lovren Lucas(ila anatakiwakuondoka kabla ya Summer)
pia hawa wanaopewa to captaincy hizi preseason games watakua wapo kwenye Majaribio
YNWA
 
Nadhani Klopp angependa kumpa ukapteni mtoto wa geto aka mtoto wa nyumbani ndio maana kuna mechi na soton alimpa Flanagan kitambaa. Nadhani anamuandaa
 
Sakho anafaa kwa leadership, Lucas na Can hawaongei so hawafai hata milner haongei so hafai. Hendo ni vile mpiga kelele na ni punda uwanjani though hana vitu miguuni.
FLANAGAN NDIYO KINAJA WA HOME NA AKICHEZA NACHEZA KWA PASSION YA GERRARD
 
Nadhani Klopp angependa kumpa ukapteni mtoto wa geto aka mtoto wa nyumbani ndio maana kuna mechi na soton alimpa Flanagan kitambaa. Nadhani anamuandaa
Lakini Flannagan sio regular starter.Ni back up ya mabeki wa pembeni.A squad player to put it simple.Wampe tu Coutinho...hiyo idea ya unyumbani ndo inafanya mpaka sasa hatuna kapiteni wa maana.
 
Nafurahia comments na uchambuzi maridhawa nyuma ya keyboard hapa huku nikosubiri ligi ianze niwehuke na chama kangu LFC forever.
 
Captain me Naona apewe lovren
 
Sakho kwanza then Can. Jetro Willems anajiuzisha kwa LFC sijui snapchat kajiweka na pic za LFC na twitter kampa pongezi Wijnaldum na kumwambia wataonana karibuni huyu Jamaa wa PSV hata simjui tusubiri tuone.

Huyu jamaa kanifurahisha sana baada ya kuona tunahitaji left back kaamua kujipa promo mwenyewe ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…