Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hapo mwenye hali mbaya ni Captain naona anenda kuwa kama Arteta, Varmaleen ila wao walikuwa majeruhi ila Hendo atasugua bench akiwa mzima kaabisaNayaona maisha ya lallana kuwa mafupi zaidi siku zinavyosogea
But stats doesn't lie ukiwa wa-compare tatizo kubwa la Lallana ni end product hasa kwenye ufungaji ... usajili ukiisha fanya sum up ya tulichoto na tulichoingiza utaona pesa ngapi imetumikaLallana ni mzuri zaidi ya huju wil sijui kwann klopp kamleta huyu jamaa . okay Joe Allen ndio anasepa stoke city but sio kumleta huyu kwa £25 ni nyingi sana . kuna better player kwa PESA ndogo . Mashabiki wa Newcastle huko UK walikuwa wanasema huyu jamaa hapaform akiwa ugenini na magoli yote 11 aliyofungia Newcastle akifunga St. James park tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Captain...Hapo mwenye hali mbaya ni Captain naona anenda kuwa kama Arteta, Varmaleen ila wao walikuwa majeruhi ila Hendo atasugua bench akiwa mzima kaabisa
Hata Lallana atasugua bench ila siyo kwa kiwango cha Hendo sidhani kama lallana ataweza anza mbele ya coutinho, firmino au mane
tena Golikipa kuwa number tatu inakuwa nadra sana kucheza hata hainisumbui kichwa, tulete beki kushoto na winger ya kushoto na middle yenye kukaba soko mpaka dk za mwisho kutatokea mengi Hasa kunapesa zitaangushwa za Coutinho ambazo zitakataliwa.Mkuu sisi na nyie nani wana wazee wengi?
Huyo yupo for experience ili kuwapa motivation Migs na Karius...tena Golikipa kuwa number tatu inakuwa nadra sana kucheza hata hainisumbui kichwa, tulete beki kushoto na winger ya kushoto na middle yenye kukaba soko mpaka dk za mwisho kutatokea mengi Hasa kunapesa zitaangushwa za Coutinho ambazo zitakataliwa.
Kwa mfumo wa 4-3-3 ata-compete na Milner, Hendo, GurjicPosition gani hasa huyu wijnaldum anacheza... liver pale anakuja kucheza nafasi gani hasa? Is he a real deal?
Simkubali Hendo .
Mara Mia tungemuuza Hendo Allen akabaki
btw tuna viungo WA Kati wengi saivi hatari..
Wijnadrum,Lucas,Henderson,Grujic,Milner,Stewart,
Combination ya Mane,Coutinho,Firmino will conquer EPL
Pale mbele a fit DS atasaidia sana
next season I can see Mignolet warming the bench mpaka akome
Lucas anaondokaSimkubali Hendo .
Mara Mia tungemuuza Hendo Allen akabaki
btw tuna viungo WA Kati wengi saivi hatari..
Wijnadrum,Lucas,Henderson,Grujic,Milner,Stewart,
Combination ya Mane,Coutinho,Firmino will conquer EPL
Pale mbele a fit DS atasaidia sana
next season I can see Mignolet warming the bench mpaka akome
Mimi nadhani good deal. Atasaidia sana team jamaa mzuri sana pia unajuwa sio first 11 tu lazima tuwe na squard nzuri kuna siku mpira unakataa unakuwa na watu wa kuingia na kuleta improve. Huyu W anacheza left au right hata kati 10 anaweza. Team itakuwa nzuri sana basi sijui keeper tu atakuwa nani.Position gani hasa huyu wijnaldum anacheza... liver pale anakuja kucheza nafasi gani hasa? Is he a real deal?
Hatua nzuri tena wamefanya buyback business kama kwa Ibe nadhani kuna left back anakujaBrad Smith to Bournemouth kwa £6m sio dili baya kwa LFC imebakia mchezaji makubaliano bora tusafishe mauchafu.
Mkuu huyu tunaye ripoti zinaonesha ameumia atakosa mechi tatu za kwanza ligi hivyo hawezi nunuliwa akiwa majeruhiLucas anaondoka
Niliona ile mechi anatoka anashikilia paja nikajua safari tayari ya kuelekea wodini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huyu tunaye ripoti zinaonesha ameumia atakosa mechi tatu za kwanza ligi hivyo hawezi nunuliwa akiwa majeruhi