Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,111
- 1,920
Game saa ngapiLine up today versus Fleetwood town,a secobd pre season match
Karius
Flano
Moreno
Matip
Lovren
Stewart
Grujic
Anderson
Markovic
Mane
Ings
Ings kakosa penatiMechi ya kirafiki,
Inaendelea..ipo dk 38Game saa ngapi
Live super sports 3Game saa ngapi
Mkuu usiwe na wasi wasi nina imani kubwa msimu huu tutafanya vizuri na msimu ujao wa UCL TUTAKUWEPO.Forbes' top 10 most valuable teams 2016 (current)
!
- Dallas Cowboys $4bn (£3.03bn)
- Real Madrid $3.65bn (£2.77bn)
- Barcelona $3.55bn (£2.69bn)
- New York Yankees $3.4bn (£2.58bn)
- Manchester United $3.32bn (£2.52bn)
- New England Patriots $3.2bn (£2.43bn)
- New York Knicks $3bn (£2.27bn)
- Washington Redskins $2.85bn (£2.16bn)
- New York Giants $2.8bn (£2.12bn)
- Los Angeles Lakers $2.7bn (£2.05bn)
!
23. Arsenal
!
!
28. Man City
!
!
36. Chelsea
!
!
41. LFC
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
How a club that rich (in red) can miss out on UCL places is beyond me!
Mkuu usiwe na wasi wasi nina imani kubwa msimu huu tutafanya vizuri na msimu ujao wa UCL TUTAKUWEPO.
Jana tumepiga mtu 5 bila na Grujic standout tall
Nina imani tutakuwa vizuri sana, kama aliweza kuchukua timu katikati ya msimu na kucheza fainali mbili na wale wachezaji basi msimu huu tuna kikombe kimoja na champions league spotLeo nilikuwa naangalia mechi yetu ile ya kwanza. Sadio Mane ni moto wa kuotea mbali!
Hapo ni mchezaji na agent wake ndo wanaoleak informations kwenye media kutengeneza mazingira ya kupiga hela kuwa anatakwa na vilabu vingi au hata club(kama liverpool na wale waandishi wa Liverpool echo)yenyewe huwa inawatumia waandishiHivi katika hatua za kumnunua mchezaji,kuna kipi hua kinaendelea...¿! hasa kwenye dunia ile ya kuleeee,
Je,kuna ishu huendelea ya kibiashara (ambayo ni sheria) kati ya pande tatu mchezaji timu imtakayo na media (sana sana gazeti) yenyewe.
Mf.timu yangu hii (LFC) katika usajili kwa miaka saba hivi dah",..!! adi raha kwenye fukunyuku mwishowe (September) manyunyu jichoni tyu.
Nizidi kuweka jeki tu fundi(Klopp) amalize kulikarabatu gari nione maana yeye kwa mbaaali imekua tofauti..
YNWA