Ungetumia Busara waache wanaopenda kufanya hivyo wafanye kwa mapenzi yao haina lazima kuanza kuwaambia kama je ndio kwanza Mnajua whatsapp? mie Binafsi sipendi whatsapp Groups ila wanaopenda wanafanya naamini wapo wanaoshangaa why kuna watu Forum hizi. Ibe LFC naona wanataka kuuza kwa £15m mie naona wangempa Muda wakamrekebisha makosa yake Kid sio mbaya ni hajiamini tu.Mhh mmeamza tena. Hamna makundi habari zote mtazipata hapa hapa. IV ndo mnaijua WhatsApp kw a Mara ya kwanza?
Ibe LFC naona wanataka kuuza kwa £15m mie naona wangempa Muda wakamrekebisha makosa yake Kid sio mbaya ni hajiamini tu.
SKY SPORT wamecomfirm kwamba atafanya Medical Jumatatu kule Fernabache kwa 5.5Hii sijaiona mahali,.. still rumours mkuu",.. Tusubiri tuzidi kujionea",..
Ibe amepewa nafasi nyingi sana ili athibitishe uwezo lakini bado ameendelea kufanya vibaya...Ungetumia Busara waache wanaopenda kufanya hivyo wafanye kwa mapenzi yao haina lazima kuanza kuwaambia kama je ndio kwanza Mnajua whatsapp? mie Binafsi sipendi whatsapp Groups ila wanaopenda wanafanya naamini wapo wanaoshangaa why kuna watu Forum hizi. Ibe LFC naona wanataka kuuza kwa £15m mie naona wangempa Muda wakamrekebisha makosa yake Kid sio mbaya ni hajiamini tu.
Unadhani mpira hajui, baloteli ni mchezaji mzuri tu, hebu jiulize angekaza mazoezi, akili yake kuweka malengo na juhudi za kukamilisha malengo km cr7 angekuwa wapi, ila uchizi wake tu ndio unamuangusha na kutokujituma uwanjan, tatizo la balotel anacheza kifadha mnoo hahangaiki kwa ajili ya team anahangaika kwa ajili ya youtube na mashabiki, utakuta yeye ndio striker kashuka chin kusaidia team, akipata mpira huko, atapiga pasi ya kisigino halaf anatembea anaona kamaliza kazi wakat anapaswa kusogea juu kufanya kubwa zaid ya hako kakisigino.ha ha ha ha haaaaa....."I want to win the Ballon d’Or"...huyu jamaa inabidi achunguzwe vizuri,huenda ikawa anayo matatizo ya akili.
Dah Mkuu umelenga kila kitu kuhusu huyu Balo sizani kama atabaki ila ni mchezaji mzuri akiamua. Balotelli akitulia anaweza kucheza kama alivyokuwa Inter Milan nimeona Training lfctv this season ana good touch na move nzuri, Balo tatizo anatabia kama ulizosema za kama mtoto aliopewa madekezo kupita kiasi na wazazi au Babu na Bibi akiamua hataki kufanya kitu basi hataki. Rashford uchezaji wake ndio Balotelli akiamua ni mara mbili au tatu ndio style zile wing left to right na number 9. uchezaji umefanania.Unadhani mpira hajui, baloteli ni mchezaji mzuri tu, hebu jiulize angekaza mazoezi, akili yake kuweka malengo na juhudi za kukamilisha malengo km cr7 angekuwa wapi, ila uchizi wake tu ndio unamuangusha na kutokujituma uwanjan, tatizo la balotel anacheza kifadha mnoo hahangaiki kwa ajili ya team anahangaika kwa ajili ya youtube na mashabiki, utakuta yeye ndio striker kashuka chin kusaidia team, akipata mpira huko, atapiga pasi ya kisigino halaf anatembea anaona kamaliza kazi wakat anapaswa kusogea juu kufanya kubwa zaid ya hako kakisigino.
Ndio hivyo mkuu tuache muda uonge,kama kweli akiamua kubadilika moja kati ya wachezaji bora katika ulimwengu huu.. Ila akifanya yale ya jasiri haachi asili, chali ataenda kucheza madaraja ya chini au nchi za china na marekani kwa hadhi ya jina lake.Dah Mkuu umelenga kila kitu kuhusu huyu Balo sizani kama atabaki ila ni mchezaji mzuri akiamua. Balotelli akitulia anaweza kucheza kama alivyokuwa Inter Milan nimeona Training lfctv this season ana good touch na move nzuri, Balo tatizo anatabia kama ulizosema za kama mtoto aliopewa madekezo kupita kiasi na wazazi au Babu na Bibi akiamua hataki kufanya kitu basi hataki. Rashford uchezaji wake ndio Balotelli akiamua ni mara mbili au tatu ndio style zile wing left to right na number 9. uchezaji umefanania.
Nimesikia kwenye skysports kuwa we had friendly game Danny Ings has scored na sakho was featured after his ban was nullifiedklopp ndani ya mkataba mnono
jurgen Klopp ameongezewa mkataba wa miaka sita",,.
YNWA
Ni kweli mkuu, tulicheza ugenini na Tranmere. Kuna dogo anaitwa Trent alifanya move tamu sana akampa pande Ings.Nimesikia kwenye skysports kuwa we had friendly game Danny Ings has scored na sakho was featured after his ban was nullified
Hapa ndipo walipoonyesha ujinga wao Sakho ana haki ya kuwashtaki maana wamemsababisha akose Euro too bad tukamkosa kwenye game zetuMamadou Sakho Kesi yake imetupiliwa Mbali Soon ataanza mazoezi bora. Uefa ina chuki sana na LFC na timu za EPL sasa ni muda wakutulipa Million za pesa na kurudisha zile fine walizokuwa wanatupiga.
Ibe imebaki yeye tu kukubali ama kakataa maana kilichochelewesha kidogo ile bid kuwa accepted na lfc walitaka kwenye mkataba wa kumuuza Ibe kuwe kuna kipengele cha sisi kumnunua tena so Bournemouth walipokubali deal done tunasubiri maamuzi yake tuIbe amepewa nafasi nyingi sana ili athibitishe uwezo lakini bado ameendelea kufanya vibaya...
Kwanza hakabi,pili pasi zake hazina macho,tatu anapoteza mipira na mwisho he is not aggressive.
Mimi natamani Ibe aondoke haraka mno ili makinda wengine wapate chance
Nimesikia kwenye skysports kuwa we had friendly game Danny Ings has scored na sakho was featured after his ban was nullified
Academy ipo vizuri huyu dogo ali-play center role nyuma ya kina firmino he's good ....
Na kuna wale madogo wengine waliicheza kipindi cha pili kina Arnold sijui wako poa pia