LFC muda mwingine ni pasua kichwaMchezaji wa sub anatusumbua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cou anawa-inspire madogo wengi sana pale academy move yake ikitokea wengi watavunjika moyo...Agent wake Kia anafanya kazi sahiv..
he's loyal to LFC, but I can see his Agent pushing hii move.
Na kwa jinsi Klopp alivyo, atauza faster sana, huwa anataka committed players.
So Agent anaweza kumcost Cou kama Aidy Ward alivyomcost Sterling..
Ushauri wangu kwa Cou, kama anataka kufika mbali, PSG isn't the right place.
June ndio imeanza tayari majogoo mmeanza kukata tama ? Ni wakati wa fununu na tetesi za uzushi wa kutosha unaweza ukaskia Liverpool wanamtaka kumsaili Juan MataCou anawa-inspire madogo wengi sana pale academy move yake ikitokea wengi watavunjika moyo...
PSG kweli hapamfai ila kama naye yupo after money kuliko football ata-move
Barca wakiamua kukaza najua lazima aende tu nadhani Suarez atakuwa anamsimulia mambo mazuri
All the best kwa little magician
nimecheka sana anakutafuta akuuzie Kisamvu upitishe ofisi ya TFF kula Green muhimu wapate akili ya kukuza vipaji.June ndio imeanza tayari majogoo mmeanza kukata tama ? Ni wakati wa fununu na tetesi za uzushi wa kutosha unaweza ukaskia Liverpool wanamtaka kumsaili Juan Mata
Hivi Malafyale bado anavuna mihogo kule Ikwiriri
Hahahaaaaa hatujakata tamaa mkuu, nasi nyie tutawapa Henderson.June ndio imeanza tayari majogoo mmeanza kukata tama ? Ni wakati wa fununu na tetesi za uzushi wa kutosha unaweza ukaskia Liverpool wanamtaka kumsaili Juan Mata
Hivi Malafyale bado anavuna mihogo kule Ikwiriri
Mkuu za siku nyingi?June ndio imeanza tayari majogoo mmeanza kukata tama ? Ni wakati wa fununu na tetesi za uzushi wa kutosha unaweza ukaskia Liverpool wanamtaka kumsaili Juan Mata
Hivi Malafyale bado anavuna mihogo kule Ikwiriri
source????Hector..........!!!!