Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef whats ur take on mane..is he good enough?
NO, HE'S NOT.

tuna tatizo la "INCONSISTENCY" kwa Coutinho and Firmino tayari..

Mane is unplayable on his day, but Consistency is an issue Aisee.

and for the quoted price? £25m? No Aisee..tunaweza tukampata Rafa silva kwa kiasi kidogo tu..

And hiyo ishu ya Mane nadhan ni Club ndo wameileak manake ilitoka straight kwa PAUL JOYCE jana..maybe ni smokescreen? au ni kuiamsha Kambi ya Gotze na Bayern?? manake sisi tunawatumia PAUL JOYCE na ECHO, Bayern naona wanawatumia BILD na KICKER kuleak ishu za Gotze..

Afu si unajua Rodgers alimkataa Mane kipindi kile, alikuwa anapatikana kwa £10m tu..
 
Ila naona ile ishu ya kumkataa Alex Teixeira inatu-backfire..

We should have signed him man wembeee

Tusingekuwa tunahangaika na wide players kwa sasa.
 
Ngoja tuangalie kina Paul Joyce wanasemaje leo, ndo muda huu...

00:30
 
Shwari Aisee wembeee

Thoughts on Dahoud??
Dahoud anacontroll midfield bora kabisa like fabregas season 2006-08 nadhan ndie mtu sahihi kwetu kwenye midfield kwa sasa zaid ya zielinsk

Naona wengi wanachanganya kuhusu zielenks & Dahoud yapasa wajue players tofaut kabisa

Dahoud ni specialist number8.

Zielinsk ni versatile anacheza positions tofaut pia ujio wa zielenks kuja kuchukua nafasi ya Lallana na milner na sio kuja kucheza kwenye mildfield

dahoud- Gundogen

Zielinski- nedved

Hao wote wanaweza kucheza pamoja..ila yule jamaa wa liver peace anasema we cnt sign both coz hatuna games nying next season
Anyway we need a CM who could give Coutinho that bit
 
WELL SAID MAN..

Dahoud is EVERYTHING we NEED.

Di Marzio na Joseph Musker wanasema kwa Zielinski tulioffer €10m but Udinese are holiding for €13m..lakin naona kama we've cooled our interest kwasasa..maybe ni kwasababu ya Coric??

Kuna ITK, Jay Riley juzi alisema Zielinski is a done deal na annoucement ni 1 june..sasa sijui kama ni kweli..au kuna change of plans kwa Klopp??
 
NO, HE'S NOT.

tuna tatizo la "INCONSISTENCY" kwa Coutinho and Firmino tayari..

Mane is unplayable on his day, but Consistency is an issue Aisee.

and for the quoted price? £25m? No Aisee..tunaweza tukampata Rafa silva kwa kiasi kidogo tu..

And hiyo ishu ya Mane nadhan ni Club ndo wameileak manake ilitoka straight kwa PAUL JOYCE jana..maybe ni smokescreen? au ni kuiamsha Kambi ya Gotze na Bayern?? manake sisi tunawatumia PAUL JOYCE na ECHO, Bayern naona wanawatumia BILD na KICKER kuleak ishu za Gotze..

Afu si unajua Rodgers alimkataa Mane kipindi kile, alikuwa anapatikana kwa £10m tu..
For 25m i think we could do alot better.. my preference would be either fekir or boufal but Boufal is good. . But nahisi at times he's missing this eagle eye and his decision aren't great

Pia Inasemekana bayern wako teyar kuuza gotze for less than 20mln...hawamtaki..sijui anang'angania nini?au anataka loyality bonus

some rumours kua hii story ya mane is planted ili kumforce gotze afanye uamuz haraka...
Ila jamaa anatakaga cheap good players to mould them into stars na wanakuwa na connection na mashabiki kuhusu Gotze siungani na club napendekeza coric thn tunamtoa mkopo tena afu next season ana join
 
Ishu ya Gotze hakuna mtu anayeijua at this point..

But its clear kwamba Bayern hawamtaki, na wanataka pesa kwasasa, and kwa recent comments za CEO wa Bayern sioni MG akibaki Bayern Aisee, ishu iliyobaki ni kwamba ataenda wapi..

Yeah, ishu ya Mane ina uwezekano mkubwa sana pia coz imetoka direct kwa LFC wenyewe, wameileak..
 
We bid for Guerreiro (sidhani kama nimepatia jina)..... Ballo return ... Skrtel off bestikas interested
Japo sijamuona sana lorient...ila ni vigum kwa young fullback kua very strong kweny kushambulia halaf wakawa solid defencively...kweny utube anaonekana kama winger kabs
 
Yes dude bt tuna uwanjani mpana wa machaguo bado
naona kama time is running out, hatupo peke yetu kwenye Transfer market..

huyo Mane mwenyewe anatakiwa pia na Utd pamoja na Spurs..
 
Japo sijamuona sana lorient...ila ni vigum kwa young fullback kua very strong kweny kushambulia halaf wakawa solid defencively...kweny utube anaonekana kama winger kabs
Lol huyo ni Moreno 2.0

Mzuri katika kushambulia BUT he's shit kwenye kudefend..

Chilwell and Hector are BETTER.
 
Matip, Grujic and Karius in the bag, now get Another CB, New LB, CM and a PACEY winger. then we can compete next season
Dribbling
Tackling
Interceptions
Bullying
Anahitaj kuimprove tackling tu grujic ili awe top defencive midfielders naona mpinzani wa can next season pia umecheki youtube ya grujic Kaongea kiutan kua he will thrash his teammate...yani wasitegemee anakuja kukaa bench
 
Zielinski may NOT happen at this stage, i think tunasubiria kwanza response ya M'gladbach kwa Dahoud..

Kama tukimsign Dahoud then hatutahitaji tena another Mid, but kama ikitokea tukamsign Zielinski tutahitaji Mid mwingine pia..Zielinski peke yake hatatosha..

But Dahoud is exactily what we need..Super talent..

Teh image can /grujic akicheza na controlling midfielder kama dahoud tutakua sawa zaidi kwenye mildfield
 
Lol huyo ni Moreno 2.0

Mzuri katika kushambulia BUT he's shit kwenye kudefend..

Chilwell and Hector are BETTER.
Chilwel? Mashaka mashaka tupu

Mi naona bora hector....huyu jamaa ataimprove sana defence yetu...he is really solid kweny ukabaj na hata kweny setpieces..halaf kwend mbele he is better kuliko hata moreno. Plus he is german first choice lb...plus he is tall and strong...plus we need more germans
 
Dribbling
Tackling
Interceptions
Bullying
Anahitaj kuimprove tackling tu grujic ili awe top defencive midfielders naona mpinzani wa can next season pia umecheki youtube ya grujic Kaongea kiutan kua he will thrash his teammate...yani wasitegemee anakuja kukaa bench
YEP YEP..

watched him juzi, walikuwa wanacheza na Cyprus, alikuwa yupo poa sana considering his age..

Hope tutamuona zaidi kwenye Euro, and uzuri ni kwamba ni mzuri kwenye Corner pia..irrelevant corners za our lovely Vice Captain hatutaziona tena next season..Coz Grujic na Dahoud ni wataalamu wa hilo eneo
 
MosDef unaonaje pale liverpool yafaa Muingereza abaki milner..wambadili awe fullback asaidiane na clyne..tuwape mwaka mmoja halaf tunawareplace with next german fullback.?
 
Teh image can /grujic akicheza na controlling midfielder kama dahoud tutakua sawa zaidi kwenye mildfield
LOL, itabidi tufanye party humu, tukifanikisha deal ya Dahoud..tutakuwa tume-sort kila kitu kwenye Midfield yetu..KILA KITU yaani.
 
MosDef unaonaje pale liverpool yafaa Muingereza abaki milner..wambadili awe fullback asaidiane na clyne..tuwape mwaka mmoja halaf tunawareplace with next german fullback.?
Yeah, Sticks zote tunazompa Milner, but to be honest anatakiwa kubaki, and Klopp likes him sana..

Atatusaidia katika mambo mengi, sidhan kama Next season atakuwa anaanza kama Mid..
 
Kazuri sana..

Form ya Fuchs tu pale Leicester ndo ilikaweka Bench..but kapo Vizuri sana and nadhan tutamsign yeye na Jonas Hector..
Mi naona bora hector....huyu jamaa ataimprove sana defence yetu...he is really solid kweny ukabaj na hata kweny setpieces..halaf kwend mbele he is better kuliko hata moreno. Plus he is german first choice lb...plus he is tall and strong...plus we need more germans Plus he can play as midfilder goodly than Hendo emoji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom