Kidogo Rafa afute uteja,hizi allegation za Sakho zina ukweli maana kiwango chake kilibadilika ghaflaSiyo mbaya even klopp welcome him with Nice words
"From my point of view, if someone wants to celebrate Rafa Benitez in memory of Istanbul or whatever - he is one of the most successful managers at Liverpool - they are very welcome."
Kikubwa tutamfunga goli chache kutokumshushia heshima
Sakho alikuwa hatumii drugs, alikuwa anatumia fat burners, dawa za kupunguza unene..ambazo pia Kolo Toure alishawahi kukutwa nazo..siyo drugs za kuongeza nguvu..Kidogo Rafa afute uteja,hizi allegation za Sakho zina ukweli maana kiwango chake kilibadilika ghafla
kwahyo game yote leo umeona use* wa sturridge tu?? Firmino? Mignolet? Stewart? Randall?Mumeona usenge wa sturridge ?
inapendeza sana mkuu..Thank you MosDef. Atmosphere ya Anfield is quite amazing, bro!
Nilibahatika kuwaona then kwa sababu nilikuwa shule UK wakati ule (nilikuwa nikisoma pale York about 160KM from Liverpool).
Nahisi misimu hii miwili Klopp akishasajili majembe yake, tutakuwa kwenye level nyingine tofauti kabisa. Naweza kutafuta nauli kwenda Anfield!
Hahaaaa si vizuri kuishusha daraja timu inayofundishwa na kocha ambaye ametubakizia great memory .....
I think alikuwa anajaribu kurest players kwasababu ya game ya Alhamis..Leo sitamlaumu mchezaji yoyote all my blame to Klopp
Hahah naona Leo klopp amewazingua eeh. Sasa hasira zako ndo unahamishia kwetu au. Acha hizo basi.Hahaaaa si vizuri kuishusha daraja timu inayofundishwa na kocha ambaye ametubakizia great memory .....
Teeeeehe teeehe niwaombee muingie fainali halafu kibahati nasibu mbebe kombe mje kutamba humu .... hakuna namna mpigwe tu
I think alikuwa anajaribu kurest players kwasababu ya game ya Alhamis..
wachezaji wenyewe leo walishindwa kustep up kipindi cha pili..
Firmino has been so so poor Aisee..nadhan huwa inamchukua games 7-10 kurudi kwenye form yake baada ya kutoka majeruhi..
Hahaaaaa aki-make it itakuaje? Sijawahi vutiwa nayeSaid this before na ntasema leo tena kuwa Randall will NEVER make it at LFC..
Hahahaaa ..... all the best ila kinafki tuHahah naona Leo klopp amewazingua eeh. Sasa hasira zako ndo unahamishia kwetu au. Acha hizo basi.
Leo tutatinga fainali
Basi asanteHahahaaa ..... all the best ila kinafki tu
Hahaaaa.. Sakho siyo tatizo kubwa sana Rafa anatuleteaga mikosi tukikutana nayeKidogo Rafa afute uteja,hizi allegation za Sakho zina ukweli maana kiwango chake kilibadilika ghafla
Kipindi kile cha kolo toure alifungiwa miezi sita kama sikosei, kwa ishu hiyo hiyoHahaaaa.. Sakho siyo tatizo kubwa sana Rafa anatuleteaga mikosi tukikutana naye