Shukrani mkuu kwa majibu mazuri.Regulation za UEFA zinaruhusu maximum timu 5 kushiriki Uefa competition, hivyo ikitokea hivyo washindi wa Europe (City na Liverpool) wanaingia UCL moja kwa moja. Then waliochini kny msimamo wa ligi wanapigwa bench.
Kushiriki nyie CL muwe wa 4 tu sababu Man City hawezi pata hata sare kwake kwa MadridShukrani mkuu kwa majibu mazuri.
Acha roho Mbaya nkamu gwangu iombee heri Man City mpira unadunda lolote laweza tokea....Kushiriki nyie CL muwe wa 4 tu sababu Man City hawezi pata hata sare kwake kwa Madrid
Lkn MAJOGOO hata ww unajua yanaenda beba kombe May kule Uswis
Man City kompinya Madiridi nialu amele logili kwa kiswahili ninasema Man City kumfunga Madrid PAKA wote duniani waanze kuzaliwa na nunduAcha roho Mbaya nkamu gwangu iombee heri Man City mpira unadunda lolote laweza tokea....
Mdharau mwiba. ....... sisi tupo kama kawaida mwakani malengo ni kuchukua kabisa.Man City kompinya Madiridi nialu amele logili kwa kiswahili ninasema Man City kumfunga Madrid PAKA wote duniani waanze kuzaliwa na nundu
Mkijitahidi nafasi ya 4 ni yenu,karibuni CL bana sisi isha tangulia
Tuombe tusiwe na injuries Mkuu,...Tuna game ngumu na Yellow Submarine lkn Liverpool inamtegemea Klopp na insh'Allah tutasonga mbele
Leo namuona Captain Steven Gerald,nitafurahi kumuona huyu mtu ktk siku zake za mwisho kwenye soka!Tuombe tusiwe na injuries Mkuu,...
Liverpool na timu za spain ndio zake na ili uwe bingwa watoe vigogo...enheeee like tim flan ivi ilivyofanya jana
YNWA
japo Spain naipenda Madrid ila naona City atamfunga Real Madrid mpira hata usidunde anashinda.Acha roho Mbaya nkamu gwangu iombee heri Man City mpira unadunda lolote laweza tokea....
City hamfungi Madrid hata games zote wachezee Ittihadjapo Spain naipenda Madrid ila naona City atamfunga Real Madrid mpira hata usidunde anashinda.
Mkuu city anaenda finali [emoji2] [emoji2] [emoji2]City hamfungi Madrid hata games zote wachezee Ittihad
Hamna kitu kama hicho mkuu!City anabamizwa home and awayMkuu city anaenda finali [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Fernando na fernandinho wanaenda kuzima midfield ya madrid, Navas anaenda kustopisha marcelo kupanda na de bruyne anazuia carvajal silva na Aguero wanaenda ku-torment pepe na ramos pale katiCity hamfungi Madrid hata games zote wachezee Ittihad
Ukicheza kwa target hizo Modric na CASAMIRO watachukua dimba lao!Then Mnyama,Bale na Benzema wanakupiga kama mtotoFernando na fernandinho wanaenda kuzima midfield ya madrid, Navas anaenda kustopisha marcelo kupanda na de bruyne anazuia carvajal silva na Aguero wanaenda ku-torment pepe na ramos pale kati
Naomba uiweke kwenye rekodi hiyo point hapo juu then utaniambia after both legs.Ukicheza kwa target hizo Modric na CASAMIRO watachukua dimba lao!Then Mnyama,Bale na Benzema wanakupiga kama mtoto