Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nawait mechi tu maana mda unaenda sanaJinsi tutakavyo wapiga lazima uwaone tu...... tukutane baada ya mechi kuisha
Nawait mechi tu maana mda unaenda sanaJinsi tutakavyo wapiga lazima uwaone tu...... tukutane baada ya mechi kuisha
Kwema kwema Bro!!!dah You w'll never walk aloneIt's been a long time bro .... welcome back
Acha umaku wewe msengerema utakuja nitafutia banMashoga wamekua wengi sana jf.... Wananuka mavii fulluu
Saa nne na dakika tano usiku uwahi kwenye Tv uone klopp anavyoshangiliaNawait mechi tu maana mda unaenda sana
SARE TU, YATOSHA LEOOODah kweli kitambo sana. Leo sare yatosha ila kuna kazi sana aiseee
Ojo naona atachukua nafasi ya Ibe msimu ujao..naona kabisa Ibe akiondoka kwa mkopo..Itabidi iwe hivyo sababu dogo ana-spirit nzuri uwanjani
Trickett ameshaambiwa akatafute timu nyingine maana ile position yake ku-make kwenye first timu ni ngumu ila nahisi anajisikia vibaya kuona wenzake (Ibe, Rossister)ku-make kwenye first timu
Wala usijali mimi nawatakia kheri leoSaa nne na dakika tano usiku uwahi kwenye Tv uone klopp anavyoshangilia
MkuuMashoga wamekua wengi sana jf.... Wananuka mavii fulluu
Yaishe mkuu pls,hapa ni upendo na kucheka!Acha umaku wewe msengerema utakuja nitafutia ban
Mkuu kwema aiseee!!Hamna Aubyemang wala nani,Liverpool anajua sana mechi za kimataifa
Mpira ni upinzani huwez sema Yanga ifutike Simba ikiwa peke yake ushindani hakuna na changamoto katika ushabiki ni chachu ya ushindiHamna Aubyemang wala nani,Liverpool anajua sana mechi za kimataifa