"Promise" hii au sio. Kila LA KheriTusipo watoa aubameyang na reus hutaniona humu hadi summer..... Europe yetu hii
Fan Opinion : Why we should be careful what we wish for in a Götze signing…Strurridge
Gotze (Right)- Firmino- Cou (Left)
OR
Firmino
Dembele-Coutinho-Gotze
Sure.... na hivi yuko nje mwezi mzima atauzwa hata akiwa majeruhiNahisi Benteke ndiye atakuwa mchezaji wa kwanza kuondoka LFC..
Aseee not fairhe's been treated like shit..been doing so good for u21s..but Klopp picks Skrtel over him..
Naishi katika maneno yangu. ..... usipate tabu"Promise" hii au sio. Kila LA Kheri
Huyu ni shabiki mwenzetu mtiifu summer hiiBelo hamia Liverpool,Klopp kaja na programs nzuri sana na nakuhakikishia utafurahia sana maana huko kila siku ni ww kulia tu
Utawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!Im football fan, huwa napost kwenye kila jukwaa la football nikiwa na cha kupost.Muulize Pazi au angalia post za miaka ya nyuma hapa sijaanza kupost leo
Klopp has been a better manager kuliko Van Gaal since 2010 (bisha kwa stats)Utawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!
Hivyo wamepaniki chifu! Mizuka inazidi kuwaishia. Usishangae wakikwambia hivyo. Wanajifariji
Kutumia pesa tuu sio kigezo cha kutegemea matokeo. Leicester wametumia milioni ngapi?? Muda ndio unapima uwezo wa kocha. Hivyo kulinganisha uwezo wa makocha hawa wawili inabidi kwanza walingane kipindi katika vilabu vyao. Liverpool wanaweza ingia sokoni na ikawachukua muda mrefu pia kwa wachezaji kufit / kusettle na kujenga partnership katika kikosi.Klopp has been a better manager kuliko Van Gaal since 2010 (bisha kwa stats)
Klopp mpaka sasa alichobadili ni momentum ya team, hajaweza kuwa na transfer window hata moja, LFC fan ambaye atamjudge Klopp kwa msimu huu atakuwa hana akili..tunasubiri afanye transfers zake, awe na pre-season yake na apate right players watakao-fit katika mfumo wake..
Klopp bado hata hajaspend £250m+ kama legend wetu Van Gaal..
Moja ya kitu kinachofanya LVG aonekane ni bonge ya dissapointment pale utd ni huyo Ranieri wa Leicester..Kutumia pesa tuu sio kigezo cha kutegemea matokeo. Leicester wametumia milioni ngapi?? Muda ndio unapima uwezo wa kocha. Hivyo kulinganisha uwezo wa makocha hawa wawili inabidi kwanza walingane kipindi katika vilabu vyao. Liverpool wanaweza ingia sokoni na ikawachukua muda mrefu pia kwa wachezaji kufit / kusettle na kujenga partnership katika kikosi.
*TOO EARLY TO Judge *
Sina neno mimiNaishi katika maneno yangu. ..... usipate tabu
Nafahamu vizuri mkuu sema tu hatukuelewana kwenye ile postIm football fan, huwa napost kwenye kila jukwaa la football nikiwa na cha kupost.Muulize Pazi au angalia post za miaka ya nyuma hapa sijaanza kupost leo
Teeeehe teeehe sawa mkuuUtawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!
Hivyo wamepaniki chifu! Mizuka inazidi kuwaishia. Usishangae wakikwambia hivyo. Wanajifariji