Lol new maxKuna tetesi kuwa Man City ( Pep Guardiola) anamtaka coutinho kama replacement of aging David silva hii niliona jana kwenye Liverpool tv wakiwa wanachambua usajili.
Kuna tetesi tume kubaliana na River plate wa kuuziwa striker wao Lucas Alario kwa pound 8m (new Max Rodriguez???) ila dogo yupo vizuri japo at age of 24 hajawahi kuitwa Argentina's national team
Sijakataa na Kama kweli PSG wakimuacha cavanni huku ibra akiondoka na wakiwa na lengo ST15 kwa hela hiyo wanaweza kumuuza nahisi lfc wenyewe hawataki kumuuza maana hata kwenye poll yao uki-vote No wanakwambia you think out of the box. .... we need himEd tambua Mil 45 nying sana for sturridge ambae hayuko reliable fitness wise...
But upande mwengine hamna many strikers in europe tunaowez kuwasain
Kumuuza Coutinho sio mbaya kama inafika pesa nzuri cz Gotze ndie replacement yake
Kumuuza Coutinho sawa ila Gotze ndo awe immediate replacement hapana kumbuka epl kuna mambo mengiKumuuza Coutinho sio mbaya kama inafika pesa nzuri cz Gotze ndie replacement yake
Hii njemba sijui Benitez alipoteaje njia aisee ila alikuwa na siku zake kama BabelLol new max
Nakupa data za Gotze na Coutinho for 5 yearKumuuza Coutinho sawa ila Gotze ndo awe immediate replacement hapana kumbuka epl kuna mambo mengi
Sijakataa na Kama kweli PSG wakimuacha cavanni huku ibra akiondoka na wakiwa na lengo ST15 kwa hela hiyo wanaweza kumuuza nahisi lfc wenyewe hawataki kumuuza maana hata kwenye poll yao uki-vote No wanakwambia you think out of the box. .... we need him
Na chizi maarifa asiye kuwa Balotelli mpira umemshindaHiyo hela Tukiiacha itakuwa ni dhambi, 45 Mill pounds for Sturidge is very huge amount of money..... wala hatutakiwa kuwaza.......
Hahhaa mkuu seriously
Bora aende huko labda anaweza kuw useful kwao kwetu ni mtu dakika 60 tu anafanyiwa subYeah niko seriously mkuu Edd cz dunia nzima itakushangaa ukikataa paund mil 45 kwa Muhimbili boy Km tuliuza Torres kwa Paund mil 50 kwann uyu Ugome paund mil 45??? Uza tuu klopp
Nimesoma somewhere Liverpool fans wamemponda sanaHahaha
Benteke has been in the headlines this week for controversial comments made to Belgium media, saying: “What’s annoying me the most, is that I would have never signed for Liverpool if I wasn’t the manager’s first choice.”
Overall goetze is better than coutinho tukiangalia over 5 seasons goetze is much better than coutinho Tukumbuke klopp alijenga strong dormtund side around goetze ambae alikua only 19..he is a prodigyKumuuza Coutinho sawa ila Gotze ndo awe immediate replacement hapana kumbuka epl kuna mambo mengi
Benitez alikosea kumtoa cz alikua mzr kama back upHii njemba sijui Benitez alipoteaje njia aisee ila alikuwa na siku zake kama Babel
Haha haha kazi ya Brendan iyoNa chizi maarifa asiye kuwa Balotelli mpira umemshinda
Sure thing ila hii 'seriously' nilikua na-question pale uliposema sell cou kwa kua gotze ndiyo replacement yake na-dought kama ataweza kuwa kwenye form pale epl kwa msimu wake wa Kwanzaa (kama sign yake ikitiki)Yeah niko seriously mkuu Edd cz dunia nzima itakushangaa ukikataa paund mil 45 kwa Muhimbili boy Km tuliuza Torres kwa Paund mil 50 kwann uyu Ugome paund mil 45??? Uza tuu klopp
Benitezi hakumuuza ni BR ndo alifanya overhaul ya timu yoteBenitez alikosea kumtoa cz alikua mzr kama back up
Kaanza kuchanganyikiwa na hivi klopp kuonesha kuwa hamtaki kunamchanganya zaidiNimesoma somewhere Liverpool fans wamemponda sana
Saizi kumbukumbu zinanitoka umri sio rafiki yangu tena ninapokosea mnisamehe na kunisahihishaBenitezi hakumuuza ni BR ndo alifanya overhaul ya timu yote