msimu huu cou kapotea kwenye game ipi kubwa?? Arsenal away?, spurs away?, Man city home and away? europa league games za utd home and away? chelsea away?..katika hizo games nilizokujia zote Cou ali-turn up..either kwa kufunga, kuassist, kumotvate game, kutengeneza nafasi, kuhold mipira, kutrack back, kuretain possession etc..na pia sidhani kama kazi ya AM ni kuassist na kufunga tu..Inategemeana na unavyoelewa kuturn up...sasa kama unaona kupiga chenga twawala ni kuturn up, basi sawa. Ila kama alivyo Nemo, Coutinho is usually missing in big games. Otherwise, prove me wrong with stats.
Kwa taarifa kubwa inayosambaa leo ni kuwa Henderson ndiyo atakua wa kwanza kuondoka summerKlopp:Anyone who isnt fully commited to Liverpool FC can leave this summer!
100% I agree!Na hii imfikie DS siku hizi nyoro nyoro sana wala hajitumi na akitolewa ana nuna!
Leo ndiye CaptainFlanno signed a new long term deal
Naona klopp yuko very interested nayeLeo ndiye Captain
He deserves to do so,..Naona klopp yuko very interested naye
Leo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.Skertel karudi Na upuuzi wake dah Wanyama Na Mane bora wangeumwa Tu agh yaleyale msaidizi WA Klopp anahasira.
Sikuona haja ya Skrtel kuingia,hatukua tunashambuliwaa angeingia Henderson kuendeleza pace.....!!!Skertel karudi Na upuuzi wake dah Wanyama Na Mane bora wangeumwa Tu agh yaleyale msaidizi WA Klopp anahasira.
Nipe matokeo yenu aisee. Maana nilikuwa bize kidogoFlanno captain the team today
Ndio manaana yake hatulii Na yeye ndio hajui kusimama line back 4 akichemsha anasababisha wote nyuma wapate tabu, kaniuzi ILA Klopp naye Leo kachemsha upangaji na usimamizi WA timu. Bora Ligi iishe Tu! Skertel kazi kukimbia Na kuvuta mashati Na ndio anasababisha mpaka Sakho anakuwa mbovu wakali game ngapi alitulia.Leo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.
I hope next mechi atakuwa kwenye bench tu haiwezikani uingie wewe tu 45 minutes tunapigwa 3
Indeed,..boss kumekua na cleen sheet kama tatu nne kwa partner ya Sacko na Lovren,..Tangu Skrtel aumie...ila leo kurudi tyuu nuksi...!!!Leo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.
I hope next mechi atakuwa kwenye bench tu haiwezikani uingie wewe tu 45 minutes tunapigwa 3
Tumeshinda tizama Google.Nipe matokeo yenu aisee. Maana nilikuwa bize kidogo