HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHuwezi funga goli la namna ile.... tena uifunge timu yenye jina la mashetani afu mbingu ikae kimya.
Malaika hawawapendi mashetani.
Long Live Cou10. Kila la kheri utakapokutana na Borussia. Kick their ass!!!!
Niko kwenye maombi... Tukiwatoa hawa wabaguzi kutakuwa na uwezekano wa kuichukua hii ndoo.Wale Dortmund tunawatoa, wale usiwe na wasiwasi legend Asprin
Ha ha ha! Lile si lilikuwa goli lake la kwanza kwa Liserfools katika Europa league?!? Ama unaongelea big games zipi? Katika EPL unaifahamu kweli rekodi yake ya magoli na assists dhidi ya top 6 clubs??! How many goals and assists he has in big games?!?kitu ambacho nakipenda kwa coutinho ni kuwa he turns up kwenye big games..
Klopp hawezi fikia kwa SAF lkn kwa current EPL managers ni yy mwenye potential ya kufikia alicho fanya babu!Hakuna wa kumfananisha na SAF braza...labda kama unataka kufosi kingi.
Punguza unazi braza. Kwa kipi alichokifanya Klapp hadi sasa kwenye EPL? Kwanini usiseme Ranieri ambaye ameitoa timu kutoka kwenye nafasi ya mwisho hadi kuwania ubingwa? Ama yule dogo wa Spurs ambaye ameifanya Spurs kuwa title contender? Hadi sasa Klapp hasn't done anything special to even be compared with SAF's shadow!Klopp hawezi fikia kwa SAF lkn kwa current EPL managers ni yy mwenye potential ya kufikia alicho fanya babu!
Your Manager is a trash,ana mbinu za kizamani sana
Klopp ana miezi 4 EPL na aliichukua Liverpool ikiwa ya 14 na haikiwahi cheza fainali yyt kwa 4 yrs!Punguza unazi braza. Kwa kipi alichokifanya Klapp hadi sasa kwenye EPL? Kwanini usiseme Ranieri ambaye ameitoa timu kutoka kwenye nafasi ya mwisho hadi kuwania ubingwa? Ama yule dogo wa Spurs ambaye ameifanya Spurs kuwa title contender? Hadi sasa Klapp hasn't done anything special to even be compared with SAF's shadow!
Yes, LvG siyo kocha mzuri but, he is above Klapp on the EPL table...so statistically he is better than Klapp, until otherwise...
Huyu huyu Klapp aliyekuwa karibu kuishusha daraja BvB?!? Ama mwingine?Hamna kama SAF ktk soka la dunia hii lkn Klopp is there to challenge him!Klopp umpe teams kama anazopewa Pep utaichukia soka la dunia hii maana atashinda kila kikombe
Unaongea bila stats wala fact na nimesikitika sana!Team ambayo alitaka kuishusha daraja ikawaje akaipa nafasi ya kucheza Europa?Huyu huyu Klapp aliyekuwa karibu kuishusha daraja BvB?!? Ama mwingine?
Ha ha ha! At one point of the season, was it after 14 or 15 games, BvB ilikuwa nafasi chache kutoa mkiani! It was a relegation battle at that time.Unaongea bila stats wala fact na nimesikitika sana!Team ambayo alitaka kuishusha daraja ikawaje akaipa nafasi ya kucheza Europa?!!
Ni kweli,hadi round ya kwanza inaisha alikuwa ktk relagation battle lkn aliporudi alishinda games nyingi hadi akapata Europa spot!Ha ha ha! At one point of the season, was it after 14 or 15 games, BvB ilikuwa nafasi chache kutoa mkiani! It was a relegation battle at that time.
Bad news!Isiwe tu serious sana maana kijana sasa ana moto balaaInasemekana firmino kaumia hii toka kambi ya Brazil kama kweli basi kesho hatakuwepo
Haswaa.... sema ngoja tusubiri official report ya lfc kama itakua ni kweli ama vipi...!Bad news!Isiwe tu serious sana maana kijana sasa ana moto balaa
lol, kwa hyo kuturn up kwenye big games ni lazma ufunge na kutoa assists??Ha ha ha! Lile si lilikuwa goli lake la kwanza kwa Liserfools katika Europa league?!? Ama unaongelea big games zipi? Katika EPL unaifahamu kweli rekodi yake ya magoli na assists dhidi ya top 6 clubs??! How many goals and assists he has in big games?!?
Inategemeana na unavyoelewa kuturn up...sasa kama unaona kupiga chenga twawala ni kuturn up, basi sawa. Ila kama alivyo Nemo, Coutinho is usually missing in big games. Otherwise, prove me wrong with stats.lol, kwa hyo kuturn up kwenye big games ni lazma ufunge na kutoa assists??
Mwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!Inategemeana na unavyoelewa kuturn up...sasa kama unaona kupiga chenga twawala ni kuturn up, basi sawa. Ila kama alivyo Nemo, Coutinho is usually missing in big games. Otherwise, prove me wrong with stats.
Katika ule msimu kwenye big games ambapo suarez alikuwa man marked coutinho alikuwa anaibeba timu, Nzi kaangalie games za Arsenal 5 kwa 1 goals za liverpool na assist atoa nani usisahau Everton, Man utd pale OT mpaka mkafukuza Moyes, Spurs na ChelseaMwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!
Katika ule msimu kwenye big games ambapo suarez alikuwa man marked coutinho alikuwa anaibeba timu, Nzi kaangalie games za Arsenal 5 kwa 1 goals za liverpool na assist atoa nani usisahau Everton, Man utd pale OT mpaka mkafukuza Moyes,Mwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!