Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kolo hatakiwi kuanza on sunday..

Lovren na Sakho ndo wanatakiwa waanze, na Lucas kwenye DM..

kuwachezesha Hendo na Can pamoja kwenye mid itakuwa ni suicidal..
 
Feb 28-Man city (COC final)
March 2- Man city (EPL)
March 6- Crystal palace (EPL)
March 10- the scums (ECL)
March 17 - the scums (ECL)
 
We can beat City, tunatakiwa tu kuzitumia chances zote tutakazopata, na ushindi wetu utategemeana zaidi na form na mood watakayokuwa nayo SFC..
 
I dont care kama tutapoteza game yetu na city hiyo 2nd march, kikubwa ni kushinda j2, kikombe ndiyo kila kitu kwa sasa..then mengine yatafata..
 
I'd go with this one

Migs, Clyne, Sakho, Lovren, Moreno, Lucas, Can, Milner, Coutinho, Firmino, Sturridge.


question is, Klopp atamweka nje Henderson?? kama hatomweka nje basi achukue nafasi ya Milner..

lakin kwavyovyote vile Lucas anatakiwa kuaza kwenye DM, Allen angekuwa fit ningemuanzisha badala ya Milner/hendo, always huwa anafanya vizuri tukicheza na city..
 
"Liverpool fans are mentally slow. They think they're a big club but it's no longer the 1980's."
El-Hadji Diouf.
 
Sep 13 2015 Van Gaal: "For me, Liverpool is a fantastic club. Because I have won every game against Liverpool."

Dear MUFC dont fire LVG till we beat these old cats next month.
 
Binafsi huyu Sturridge wa sasa wala haniimpress.Pamoja na kuwa ni goal getter mzuri lakini mara nyingi anashindwa kuoffer what the fans expect from him.Mfano kwenye mechi na aston villa pamoja na kufunga goli zuri lakini alishindwa kukaa na mpira mbele.Anapoteza mipira kirahisi na kasi yake ni ndogo.Kuna moves za coutinho na firmino haendi nazo kwa ushapu uliokusudiwa.

Ni aina ya mshambuliaji ambaye hasumbui mabeki.Positioning tu ndo inambeba.Bado klopp anahitaji kumpa time ya kutosha origi ili ampime kwa uhakika kama ambavyo amepewa muda Benteke.Namuona origi akiimprove game to game na kwakweli kuna dalili nzuri zaidi kwake.

Ni muda sasa wa kuachana na striker mzigo kama sturridge wa sasa.Anaongeza tu idadi ya mastriker lakini anaizibia nafasi timu kuwa na striker mzuri zaidi yake.Ni kweli alitusaidia sana akiwa na suarez lakini
suarez presence boosted him.Sasa ni kama vile anajiona yeye ndo top so anakosa ile hali ya kupania kumfikia au kumfunika fulani kwenye timu.Apigwe benchi la maana huku akiwa mzima hivihivi labda yaweza mboost ingawa mimi nimekata nae tamaa kabisa na sidhani kama atafikia kiwango chake cha msimu ule wa mtelezo!
 
Lol, nina kitete hapa kuhusu hiyo keshooo, Damnnnnnnn!!!
 
tukipoteza hiyo kesho, itakuwa ni moja kati ya j2 mbovu sana kwangu kuwahi kutokea tangu nizaliweeee, winning a trophy is EVERYTHINGGGG MAN..
 
All the best to Klopp and the gang.

Klopp akichukua kombe na hawa average charges, msimu ujao sitashangaa tukibeba EPL.
 
Come on Reds men

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 
Kama tutashinda hili kombe its by lucky, midfield is a mess

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom