Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

rumours just rumours

af767769a829ef2785a8191292c9d49d.jpg
 
Firmino in form
 

Attachments

  • 1453994522129.jpg
    1453994522129.jpg
    44.5 KB · Views: 23
  • 1453994536923.jpg
    1453994536923.jpg
    17 KB · Views: 23
Shakhtar's CEO now claims Alex Teixeira won't be sold for less than his release clause of £53 million this January.
 
Another linked one: With Jurgen Klopp reportedly on the search for another striker, Liverpool are said to have turned their attentions to a former target, Javier Hernandez.
 
JK alipokua akimzungumzia DS

"He cannot play tomorrow and for sure not against Leicester and I don't know what happens after this to be honest."
 
Liverpool wasipokuwa makini hawatampata Teixeira. Kwa ubora wake alitakiwa atafute club inayocheza ucl. Kwa kiwango chake angefaa bayern, psg, arsenal na man city. Ila kwa liver na chelsea atakuwa kapotea. Inabidi ashiriki makombe ya caling, fa na epl.
 
Press conference at Melwood leo:

Jk- kuhusu D15 Hakuna Jipya,,, anafanya mazoez peke yake,,,

Anahitaji kuwa vizur zaidi msimu huu na hicho ndo tunachojaribu kufanya,,,, sio kitu kizur unapokuwa na majeruhi ya mara kwa mara,,,,,, hivyo tunajitahidi kulimaliza tatizo kabisa

Kila mtu humu anajua kwamba Daniel ni bora kuliko mimi,,, hakuna shaka juu ya ubora wake,,,tunahitaji kufanya kazi pamoja ili awe fiti kabisa,,,

Hivyo hatocheza kesho na bila shaka kabisa hatocheza pia dhidi ya Leicester,,,

Jk- kuhusu usajili tuko bize kuhusu hilo,,, tunaangalia uwezekano,,,, kama kuna kitu kitatokea tutaona,,,, kwa sasa sina cha kusema,,,,

Niko poa na hiki kikosi,,, hakuna tatizo,,,, tatizo pekee ni majeruhi tu,,,,

Jk- kuhusu kikosi kitachocheza kesho "Itakuwa ni team tofauti kwa Kweli,,,, ni upande wa Vijana kwa mara nyngine,, kuna baadhi ya wachezaji wamekimbia km 17 mechi iliyopita,,, "

"Tutafanya mabadiliko kwasababu tunataka kushinda mechi,,,, mechi iliyopita dhidi ya Exeter Vijana walifanya kila kitu kwa ufasaha "

Jk- "team imeonyesha kutokata tamaa kwa wiki zilizopita "

Jk- "kucheza kila baada ya siku 3 ni ngumu,,,, ndivyo ninavyoweza sema!,,,,, unasema chukua kikosi Kikubwa,,, lkn huwez nunua kisha majeruhi wanarejea "

Jk- "Lovren amerejea,,, Caulker yupo,,,, Cotinho yuko jirani kurejea bado anaendelea na rehab,,, Clyne kuna uwezekano akawepo,,,,anaendelea vzr "

Jk- "Henderson anajitolea sana kwa ajili ya team,,, alikuwa nje kwa mda mrefu na bado anacheza na maumivu,,,,,, ni kiongozi sahihi kabisa "
 
Hii game na westham itakua game ya tisa ndan ya mwez wa january pekee...crazy!!!!
Kwa options tulizokua nazo I must say klopp has managed this squad very well
 
Liverpool hawapo serious...
Wakati Man city wanatoa £49 millions kwa kinda Raheem sterling

Barcelona wanatoa £75 millions kwa world class Luis Suarez....

We can't pay just £38 millions kwa super talented Teixeira

This is madness
KLOPP kasema hivi


>> Klopp shares the club's belief that £38M for Alex Teixeira would be paying over the odds & represent too great a gamble. ( Echo )

Mie naona
teixerra anaweza kuwa mzuri lkn katika 26yrs afu anatoka ligi ya ukraine hata 30mil bado ni gamble
Mnakumbuka Wilian tuliona alivyombwela msimu wake wa kwanza chelsea, walau umri mdogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom