Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nasikia majogoo yanachechemea(injuries) kila idara. Kesho tusipowapiga ubaya basi hatuna chance ya kubeba PL msimu huu. Let's the best Arsenal team win.
 
LFC have completed the signing of Steven Caulker on loan from Queens Park Rangers until the end of the season.
Huyu jamaa mzee wa kujufunga ndo tumechukua kwa mkopo kweku kazi tunayo na mwendo huu wa injury naona kama tunapata shida kuingia top 4
 
hahahahahahahahahaha.

i trust Klopp though.
Last time caulker kucheza southampton ilikua siku tuliowapiga 6-1 na caulker was absolute joke...hii club yetu imelogwa

Good luck to caulker.
 
Injury ni injury tu, haijalishi aina ya league, mchezaji akishakuwa injury prone, atakuwa hivyo katika league yoyote ile anayoenda.

Pato alikumbana na Major hit ya injury akiwa Ac Milan ambayo somehow iliharibu mpira wake ukichangia na maisha yake aliyokuwa akiishi nje ya uwanja, but alilicover, and tangu arudi mwishon mwa mwaka 2012, hajakumbana tena na injury kubwa, na amekuwa injury free since then, tofauti na Daniel sturridge.

pato can play as a Wide foward na Centre foward, kama Sturridge/Suarez/Torres etc and hao ndiyo aina ya Foward ambao wanaweza wakacheza mpira na AM wetu.
Thats certainly not true...lol as if it is not very obvious. it is crystal clear that injuries bear relationshp with intensity of football.ukichez high intensity football kama ya epl lazma injuries kibao...high intensity football ya klopp inapelekea injuries kila siku liver na dortmund ilikua same...

Hata delima who was injury prone in europe morphed into a robust performer akiwa league ya brazil ambayo lucas alikua box to box midfielder..mtu alie slow kama lucas kua attacking midfider brazil just tell u how poor and slow is that league...na kusuggest injuries hazisababishwi na intensity ya league kadhaa is flipping naive
Na pamoja na ile league kua mbovu ambapo players kama fred paulinho gaucho jo wanaonekana superstars bado patos numbers r not impressive...if he is as good as u suggest he would have ripped that league to absolute shreds considering now yuko in his prime age.... na he is not type of suarez torres lol..he isnt physicaly strong to lead a line in epl..suarez aguero are small but well built..torres was 6ft3....pato cant lead a line kweny team yetu...he is wingfoward.na kwa mahitaj ya klopp ya kutrack back pato wont withstand thats y hatumtakiiii
 
Uskute brendan kafanya plastic surgery kubadil sura halaf tunadanganywa ni klopp
ndomana br haskiki yuko wap joking 😀
 
Gary Gordon aliyekuwa kocha wa vijana wakati wa utawala wa Klopp pale BVB. Kaungana na kina Roy na big Sam Yeye anasema haya yanayotokea liverpool kwa wachezaji kuumia misuli ni jambo la kawaida kwa Klopp! Rekodi inaonesha tokea amejiunga na liverpool wachezaji takribani 13 wameshaumia nyama za misuli. Kwa sasa wachezaji watano tegemezi itabidi wasubiri benchi kwa kipindi chaa mwezi mmoja..

Roy Evans meneja wa zamani wa liverpool pamoja na kocha wa sunderland sam allardyice wamesema klopp hapa England ni ligi yenye kasi mno ni ligi inayohitaji mbinu za nguvu na akili na sio kasi. Sasa unapowapa wachezaji mazoezi mengi na magumu inawapelekea kuwa hatarini zaidi kupata majeruhi. Huwezi kushindana na kasi unachopaswa ni kupunguza kasi ya mpinzani wako...

Siku zote lazima ubalansi kati ya mazoezi na mechi, klopp anapenda zaidi kasi na anachotaka aendane na kasi lakini kibaya zaidi ligi hii inahitaji nguvu nyingi, hivyo unachopaswa kufanya ni kutengeneza mfumo wa kasi na sio kutengeneza wachezaji kukimbia kwa kasi. Kila mwanadamu anabalance yake ya kasi, unapomzidishia kasi ni hatari zaid hasa kwa ligi hii yenye nguvu
Gordon anasema "mchezaji anapokimbia maili 6 mpaka 7 klopp anafurahi na anapendezwa zaidi" ana mfumo wake unaitwa gengepress yani kuikimbiza timu mpinzani muda wote, wawe na mpira ama lah! Lakini wataalamu wanasema kuwa ili hii tactic ili ifanye kazi kwanza inahitaji wachezaji vijana kama ilivyokuwa BVB ya hapo awali, pili inahitaji mazoezi makubwa na ya muda mrefu tatu na mwisho inahitaji wachezaji wenye asili ya kasi Ukifuatilia kwa makini utagundua Ilkay GunDogan, mats hummeles walikuwa wakiumia ovyo kwa sababu miili yao haijajengwa kwa mentality hiyo hata Reus nae amekumbwa sana na haya matatizo bila kusahau Gotze.

Juzi nilikuwa nasikiliza BBC swahili wanasema liverpool kwa sasa inahitaji kuwekeza zaidi kwenye utabibu kama Klopp hatotafuta njia mbadala
 
Uskute brendan kafanya plastic surgery kubadil sura halaf tunadanganywa ni klopp
ndomana br haskiki yuko wap joking 😀
Huyo hapo
 

Attachments

  • 1452664141068.jpg
    1452664141068.jpg
    14.6 KB · Views: 19
Thats certainly not true...lol as if it is not very obvious. it is crystal clear that injuries bear relationshp with intensity of football.ukichez high intensity football kama ya epl lazma injuries kibao...high intensity football ya klopp inapelekea injuries kila siku liver na dortmund ilikua same...

Hata delima who was injury prone in europe morphed into a robust performer akiwa league ya brazil ambayo lucas alikua box to box midfielder..mtu alie slow kama lucas kua attacking midfider brazil just tell u how poor and slow is that league...na kusuggest injuries hazisababishwi na intensity ya league kadhaa is flipping naive
Na pamoja na ile league kua mbovu ambapo players kama fred paulinho gaucho jo wanaonekana superstars bado patos numbers r not impressive...if he is as good as u suggest he would have ripped that league to absolute shreds considering now yuko in his prime age.... na he is not type of suarez torres lol..he isnt physicaly strong to lead a line in epl..suarez aguero are small but well built..torres was 6ft3....pato cant lead a line kweny team yetu...he is wingfoward.na kwa mahitaj ya klopp ya kutrack back pato wont withstand thats y hatumtakiiii

1. As far as the word "injury prone" is concerned, Ronaldo De Lima hakuwahi kuwa injury prone akiwa EUROPE, bali alikutana na Major injuries 2, ile ya mwaka 1999, ambapo ilimweka nje msimu wote wa 2000/2001, akaja kukutana na Knee injury nyingine 2008, ambapo alirud na kucheza mpira Brazil (Cornthians), injuries za hapa na pale zilianza kumsumbua akiwa Brazil (Cornthians) na wakat anakumbwa na ile 2nd knee injury alikuwa kwenye 30's tayar mwili ulishaanza kuchoka, majeruhi ya mara kwa mara yalimsumbua akiwa Brazil.

2. unapoongelea Injury prone players, huwezi kuwaweka kundi moja na wale wachezaji waliopata Major hit ya injuries na kurecover, and kucheza for 5-6 years bila kukutana na setback nyingine kubwa kubwa, unapozungumzia injury prone players unaangalia muda gani aliokaa nje, na je alivyorudi alicheza kwa muda gani kabla ya kuumia tena?, kwa msimu anacheza games ngap bila kupata injury yoyote? ana rate ya games ngapi per season due to injuries? injury prone players ni kama Danny Sturridge, Abou Diaby, Andy Carol, Wilshere, phil jones, etc

3. hilo neno "Wingfoward" linatumika just for the sake of Football, but kwenye mpira, na katika eneo la Striking force, hatuna mtu anaeitwa "WingFoward", tuna "An outside foward" ambaye anaoperate kwenye left/right flanks, majukumu ya Wingers na an outside foward ni tofauti, an outside Foward can play katika formation ya 4-4-2, 3-4-3, 3-5-2 etc, kazi kubwa ya Outside Foward ni KUFUNGA, kucreate chances, assisting, Speed up the game, Dribbling past defenders, etc (roles za Pato tangu yupo AC Milan kama akiwa anatokea pembeni, DS wakat yupo chelsea na sasa LFC kama akiwa anatokea pembeni, Roles za Suarez akiwa Ajax, LFC akiwa anacheza kutokea pembeni, Roles za Aguero since yupo ATM mpaka Man city kama akiwa anacheza kutokea pembeni, Role ya Martial tangu yupo Monaco na sasa Utd akiwa anacheza kutokea pembeni etc), Main role ya Wingers ni KUPRESS opponents fullbacks, Kupiga crosses, kufunga,kutrack-back mtu wake, kusaidia fullbacks wake na centre mid kuretain possession etc (Bale, Di Maria, Lucas moura, Hazard, Sterling, Navas, Ibe, Depay, Ox, Campbell, Mahrez etc), unapocheza 4-3-3 unahitaji natural wingers kwenye either flanks, kwenye 4-4-2, wingers wanarudi ndani na kucheza kama Attacking Mid, now kuna wachezaji ambayo ni natural wingers lakin wanaweza kucheza kama Second striker au outside foward roles (Messi, cr7, Neymar, Bale, Turan, Willian, Lamela etc) but natural fowards (Suarez, DS, Lewa, Ibrah, Aguero, costa etc) hawez kucheza kama winger hata siku moja Lakini wengi wao wanaweza kucheza kama an outside fowards wakitokea kwenye flanks au kama Second STs, and thats why dunia ya sasa inademand mobile STs ambao wanaweza kucheza katika nafas yoyote katika Foward line,

4. tunaposema Pato ni kama suarez/Aguero etc, tunaangalia Style of play yao, utofauti wa viwango unakuja kulingana na uwezo wa mchezaji binafsi, (sijamfananisha Pato kiviwango na kina suarez, nmefananisha "style of play")

5. Tracking-back ya any foward inategemea na matakwa ya manager, kila manager anapenda ST wake acheze kwa jinsi anavyoset up team yake, tracking back record ya Pato wakat yupo Ac Milan ilikuwa ni nzuri, coz manager alikuwa anademand hicho kitu, so kila kocha anakitaka kile anachokiamini, ndo maana benteke anatrack back kwa sasa akipoteza mipira au team ikiwa haina mpira, hiyo simple mathematics tu, ni kwamba Klopp anataka hicho kitu, hata wakija kina Ibra, Benzema, Cr7, etc watatrack back tu markers wao coz hiyo ndo aina ya mpira anayoitaka Klopp.

5. narudia tena, mchezaji akishakuwa injury prone haijalishi unacheza ligi gani, mchezaji ukishakuwa na Muscle/knee problems, huwez kuepuka injuries popote pale, hilo naomba lieleweke, leo hii huwez kumpeleka DS, Wilshere, Diaby etc Italy/France/Russia na wakacheza 5-8 games bila injury concerns, De Vrij tangu apate ile Knee injury na Uholanzi, mpaka leo hii anarud na kuumia, sijui hata kama kafikisha games 8 tangu 2015, Strootman tangu apate ile Knee injury akiwa na Roma, tangu 2015 kacheza games ngapi?? major hit injury inamkuta mchezaji katika league yoyote, na once knee injury ikikupiga, haijalishi unacheza katika slow tempo league or whatever, kama mwili wako hautareact vizuri, utakuwa unarudi na kuumia tu, injury prone players wanapata tabu katika league yoyote ile..
 
and some utd fans mocking signing ya Caulker, while philosophy king wao kaspend zaid ya £250m and their Midfield couldnt get hold of Cheik Tiote..
 
Klopp wanted Subotic and Matip this window, but club zao zimegoma kufanya biashara mid-season, kwahyo watu walitaka akamwage hela kwa beki mwingine ambaye when Sakho, Lovren, skrtel wakiwa fit akae bench?? Caulker ni short term plan, loan spell yake ni ya miezi 6 tu, na kasajiliwa kulingana na injury crisis tuliyonayo..

kama Clubs husika zimekataa kutoa wachezaji wao this january, angefanyaje? amcheze tena Lucas at the back?? tuna games kibao zinakuja, depth inahitajika..

m-Judge Caulker akishacheza katika red jersey.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom