Umesikiwa Fundi hehehe ILA game over hii Firminho uozo Tu. Mie top 4 pia nishaikatia tamaa pia ILA Klopp alete watu wanaoweka mguu soft wengi.Moreno anapata nafasi za kutengeneza magoli wingi ya kushoto anashindwa kufanya lolote. Kwa nini Ibe asihamishiwe LW na Lallana kuingia badala ya Moreno?
Na sturidge waliobaki uozo Firminho ndio number 1 uozo Na Lallana.Only Sakho, Can, Coutinho, henderson, clyne na Moreno ndiyo wanastahili kubakia LFC.
Umesikiwa Fundi hehehe ILA game over hii Firminho uozo Tu. Mie top 4 pia nishaikatia tamaa pia ILA Klopp alete watu wanaoweka mguu soft wengi.
Umesikiwa Fundi hehehe ILA game over hii Firminho uozo Tu. Mie top 4 pia nishaikatia tamaa pia ILA Klopp alete watu wanaoweka mguu soft wengi.
Benteke why katoa pasi pale?
True ILA Ana mtihani mgumu Sana Coutinho ataondoka.Nadhani uzuri wa Klopp utaonekana msimu ujao baada ya kuleta wachezaji wake sio hawa wa Rodgers na sijui aliyemtangulia. Mtakuwa na wachezaji ambao hawapo katika plan ya Klopp ila analazimika kuwatumia hadi atakapoleta wake.
Sawa mkuuUbingwa wa liverpool msimu huu you people worry not
Yah kweli tena unaona game over kuliko kuona watarudi wachezaji wanakata tamaa Sana.Liverpool siku wakiamua kufungwa wanafungwa bila ubishi
Ngoja tulifute mkuu, kwahyo itasomeka 1-0, sawa sawaaaGoli la kwanza nadhani lilitakiwa lisihesabike.
Hamna lolote bahna wanatakiwa kujifunza kutolalamika Sana ukianguka mtu nyanyuka haraka Sio lawama nyingi ndio kuonyesha Soft wengi mpira WA siku hizi hauna ugumu vitu Kama vile ndio vinaiharibia timu Kama Arsenal ubingwa then wanabaki kulalamikia kuonewa Na refa.Goli la kwanza nadhani lilitakiwa lisihesabike.
Hamna lolote bahna wanatakiwa kujifunza kutolalamika Sana ukianguka mtu nyanyuka haraka Sio lawama nyingi ndio kuonyesha Soft wengi mpira WA siku hizi hauna ugumu vitu Kama vile ndio vinaiharibia timu Kama Arsenal ubingwa then wanabaki kulalamikia kuonewa Na refa.
Poyeeeeee....Hii game itaniuma sana tusiposhinda!
Poyeeeeee....
Bentekee akianzaa tunakua too predictable kua tutapiga cross nying na kibaya zaidi hatuna wide players ambao wanapiga cross vzuriii na kama tutaendelea hivi kila mechi benteke atakua mbeba lawama sababu hapati huduma stahiki ila inabid nae ajiongezeee hana movement za mahanaHuwezi kushinda kwa mchezo huu
Vp lovren?Only Sakho, Can, Coutinho, henderson, clyne na Moreno ndiyo wanastahili kubakia LFC.