Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Lmaoo, so unachukua articles za Mirror, thats why mnaJudge players vibaya, mwangalie mchezaji na mjudge kwa uwezo wako binafsi, hao hao pundits wanasema Skrtel bado ana ubora wa kuchezea LFC.

Wakat yupo Lyon, LFC wanted to buy him for ?8m, Agger alivyogoma kwenda Barca deal ikafa..

Leo hii ukiambiwa Shawcross, Reid, aldelweireld etc ni bora zaid ya Skrtel utapinga, coz unasikiliza Pundits wa BBC, Mirror etc wanasemaje...


how can a player be shit kwenye league mbovu kama France, afu akaja soton na kuingia moja kwenye first team, na kucheza kwa kiwango cha hali ya juu, he forced a move kuja LFC, coz ni shabiki wa LFC kama sisi..

me leo akija mtu kunambia Firmino is shit, siwez kukubali, coz nishamuona akicheza kabla ya LFC, na ndo maana nilisimama tangu mwanzo kuhusu Markovic despite na Crticism alizokuwa anazipata, coz nilikuwa naujua uwezo wake..And what about Boateng? utasema alikuwa m-bovu at City??? well, look at him now..

lol, Lovren was shit at Lyon.. wembee, kama umeamua kufatilia mpira, jucommit moja kwa moja, usitumiame youtube stats au articles za kina Muddock kujudge players,

Anakuja Grujic, LFC, nenda kwenye Websites ya club yake, subscribe/lipia au tafuta Links imara ambazo zinaonyesha recorded full matches, umuangalie kwa dk90 zote kwa game 8-10..ukitoka hapo utaelewa kwann Klopp amemtaka na unaweza kuspot weakness zake..siyo unakaa kwenye youtube na kusoma articles tu za binadamu kama wewe..
 
Last edited by a moderator:

Hahaha, you see unasoma artcles, i bet hujawahi kumuona Lovren akicheza na Jezi ya Lyon..

Huyo Matip hana Red Cards???

kupata Red cards ndo kunafanya DF awe m-bovu??

Fonte hajawah kuwa Solid CB bro..HAJAWAHI. kabebwa na Lovren, last seasona akabebwa na Alderweireld.

kiungo cha Man utd kinakuwa na Bastian/Carrick, na Morgan sometimes but back-line yao ni Imara, Arsenal kwa sasa DM wao ni Flamini, lakin Kos na Per wanafanya kaz yao, Man City wana Fernandnho na Delph/Yaya na bado backline yao inavuja..

Centre-backs wakiwa wabovu, MF haiwez kusaidia kwa chochote, defense huwa inaanza kutengenezwa kutokea kwenye MF..


There's a reason why Fonte yupo Soton mpaka leo, Lovren kamkuta na kamuacha, Alder kamkuta na kamuacha, na sasa Van Djik atamuacha pale pale..

hapo napo naanza kuhisi huwa unaawangalia kina Fonte wakicheza na LFC/City/Chelsea/Man utd/Arsenal/Everton

mfatiliaji mzuri wa EPL, hawez kusema Fonte ni SOLID CB, labda kama huelewi ukubwa wa neno SOLID pale unapoongelea CB na DM.
 
Agger kala red cards ngap Katika career yake LFC?? kwahyo hana akili?
 

Vp fonte kabebwa na alderiwed??? Alderweirld katoka atletico lol....na fonte last season alikua in epl team of the year...patner wake alikua jamaa mbovu tu..
 
Vp fonte kabebwa na alderiwed??? Alderweirld katoka atletico lol....na fonte last season alikua in epl team of the year...patner wake alikua jamaa mbovu tu..

Team of the year ya last season hakuwepo Aguero (league top scorer) wala Silva..unashangaa fonte kuwepo?

Last season, Patner wa Fonte alikuwa ni Alderweireld, ambaye alitokea on loan ATM, and incase you didnt know tulikalibia kumsign kutoka Ajax, akaenda ATM, he REJECTED us tulivyorudi mara pili wakat anakaribia kusign kwenda ATM (he was quoted saying "LFC didnt try enough for him and he felt like he was seen as a back up option)

And Again, unashangaa Alderwelred kutokea ATM as if ni team ndogo, Well ATM imekuwa ni Club bora kuliko LFC for the past 6-7 years, only Coutinho and a Fit Sturridge ndo wanaanza kwenye ile team, he was loaned kwenda Soton coz alikuwa anataka kucheza mpira, alikuwa anacheza position moja na Godin, so unategemea angecheza lini mbele ya Godin?? kaondoka kaenda Soton, baada ya muda Spurs came in for him, Spurs paid a lot of money for him, Soton walijaribu kum-bakisha but aligoma na kuondoka kwenda spurs (soton fans mpaka leo wanamwita snake)...again another bigger and rich club than Southampton Came in and signed Alder, akaondoka akamwacha fonte...pengo la Alder linaonekana kuliko hata la Morgan msimu huu kwa Soton..(kama unaingaliaga Soton lakin, manake naweza nkawa nasema hiv kumbe mwenzangu huangalii hata hiyo soton)..

Afu kitu kingine mzee, hum-rate Alder, lol, bro how can you not rate him??? taja CB bora watano sahiv katika EPL, huwez kumweka Alder nje..EPL team of the year ilivyotoka last season, critics wengi sana waliquestion uwepo wa fonte badala ya Alder (unakesha kusoma Articles lakin hivi vitu huvioni)

Na mwisho hapo, umeonesha hata last season partner wa fonte ulikuwa humjui hiyo kaulia ya *jamaa flan mbovu tu* inaonesha ubovu wako katika kufatilia mpira, kazi aliyoifanya last season Alder pale Soton, na bado hukumrecognize?? tunamzungumzia Toby Alderweireld bro.
 

Costa alikua na goals nying plus ana advantage ya kua in tittle winning team. .that gave him a nod ahead of aguero....


Fonte alikua nacheza na patner mbovu first half ya msim yule mjapan na alikua solid as ever...kusema alderweird ndo kamfany kua bora hadi aingie epl team of the season I cnt agree...coz fonte was great even before huyo alder kwenda pale which sikumbuk kumuona hata game moja...


Hamna post hata moja nimesema simrate alder...he has been among best in epl this season...
 

lol, Partnership ya Southampton last season ilikuwa ni ipi bro?
 
lol, Partnership ya Southampton last season ilikuwa ni ipi bro?

Patner wa fonte alikua yoshida...
Na hadi Christmas soton walikua top of epl table..wakiwa na best defence...toby hakuepo
 
Huwa nakata tamaa ninaposkia we are still linked with average players like Matip,Grujic ,etc these are the kind of players who would take more than a season to gel,we now have to pay for "immediately impact" kind of players,Guys let us not be fools....timu yetu sasa hivi haina Goolkeeper,hatuna commanding CB, hatuna strong midfielders,na hatuna striker anayeendana na style tunayocheza,Klopp is a big name but he ll be struggling kama hataweza kutumia jina lake kufanya usajili wa kueleweka.
 
Patner wa fonte alikua yoshida...
Na hadi Christmas soton walikua top of epl table..wakiwa na best defence...toby hakuepo

Soton wamewahi kuwa Top of EPL table lini???? last season muda kama huu (XMASS) Soton walikuwa ni WATANO kwenye Epl Table, kesho yake tarehe 26 (BOXING DAY) Toby Alderweireld alifungia sotom wakat wanacheza na Crystal Palace, na hapo unaniambia Toby hakuwepo???? really?

Toby kacheza games 25+ na soton last season na game yake ya kwanza ilikuwa mwezi wa 9 mwaka ule (2014)..
 

Spot on bro..haya ndo huwa naongea kila siku, Klopp ana pulling power kubwa, and bado tunakuwa linked na Matip, kinda player ambaye hata BR angemsajili.
 

Wait am coming back here
 
Epl ina games 38...cup competition atleast 10 games...so roughly soton waliplay 40 games last season....I never saw toby anacheza...myb he was injured for most part I dnt know..why he played 25 games then?? How come mtu anachez game 25 msim halaf unasema alikua anambeba fonte..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…