Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Leicester nampiga easy sababu atataka kuja Anfiekd kucheza mpira!Liverpool anasumbuka kwa team zinazo cheza fiziko
hapa ndio nakupa heshima mkuu unajuwa kufuatilia LFC! chama letu game tunazoshinda ni na timu ambazo zinacheza mpira Pasi fungua, nasie ndio tuna Relax tunacheza mpira chini tunashinda ila LFC tunapatiwa na timu ikipigwa pira juu ukidunda sasa kwa mabeki wanababaika uoga, jengine kina Firminho na Lalana wakipigwa upaja chini.... ila za kuachiana kucheza mpira tunashinda. Lfc kwa Leicester ushindi upo tatizo lipo kwa Mahrez na Kasi yake ya mbio Leicester wanamtumia Mahrez Kama LFc ilivyokuwa kwa Suarez tunahitaji mtu Kama vile. Yule winger wa Dortmund black ndio LFc I nahitaji au Kama Yule na Katikati mtu katafunua. lasivyo Middle kina Firminho na Lalana kila siku beki zetu zitachoka na kuumia Kuwa na Middle mpaka beki na kipa wanakuwa Holiday ni raha.
 

Na hatuna Skirtel wala Lovren, maana yake CD watasimama Sakho na Kolo. Naona dalili mbaya hii game.
 
Yap, he's shit, unless anakuja kama Back-up, lakin akija kama Starter utakuwa ni utani.

Matip anacheza kama rio ferdinand kulingana na jinsi nilivyo muona kwenye match nying...good reader of the game na anakaba on the front foot....good on the ball...nilichoona anakosa ni kua hayuko aggressive sana anapomark.anafaa kwetu
 
Matip anacheza kama rio ferdinand kulingana na jinsi nilivyo muona kwenye match nying...good reader of the game na anakaba on the front foot....good on the ball...nilichoona anakosa ni kua hayuko aggressive sana anapomark.anafaa kwetu

Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..

utakuja kunambia hapa.
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…