Hii ngumu kumeza.
Tuanze kumjadili Klopp. Conclusion yangu ni kuwa kuna very thin line ya kuwatofautisha Klopp na Rodgers.
Kama Suarez asingeondoka na Sturridge kuumia, tungeweza kuchukua EPL na pia kufika mbali sana kwenye UCL kwenye season ya 2014/15. Kilichomfanya Klopp awike B Dortmund ni mchango binafsi wa Lewandoski na Gotze, walipoondoka hawa Klopp na Dortmund yake wakaangukia pua!
Duh!!! Poleni sana Rafiki zangu Ed n Edd nEddy sijui leo umejificha wapi? My kaka naona jogoo hili lishakuwa la kizungu mchinjaji hana tabu..... Pazi na mak89 take it easy league ngumu..... wembeee na fredricko khaahahhhhahahahahhah hii ndo gege style, kujeni basi msiwe mnajificha bana!!!!
Kwa ulinganifu wako, you are also automatically implying kuwa kumbe BR si kocha mbaya and there was no point replacing him with Klopp, right?Klopp sio kocha mbovu but hii ligi ni tofauti sana na nyingine,On my view Carlo Anceloti angewafaa sana kuliko Klopp
Kwa ulinganifu wako, you are also automatically implying kuwa kumbe BR si kocha mbaya and there was no point replacing him with Klopp, right?
sometimes una use common sense kidogo,Liverpool in the Premier League this season:
Under Rodgers: 8 Games, 12 Points.
Under Klopp: 9 Games, 12 Points.
the normal one.
Ni hivi, kila timu inayaogopa majongoo.
Ameenda kuvuna na kukusanya majongoo kwa ajili ya lishe ya majogoo yake.Hahahaaaaaaaaaaa, Malafyale wapi mkuu
Tupo kwenye transition baada ya BR kutuletea wachezaji wa hovyo hovyo,Klopp will make us betterAmeenda kuvuna na kukusanya majongoo kwa ajili ya lishe ya majogoo yake.
Majogoo yake yamepata utapia mlo, yanahitaji lishe bora na hakuna lishe bora kwa majogoo kama majongoo.
Nipo hapa na Klopp will make us stronger than BR
sometimes una use common sense kidogo,
BR kakaa na team kwa muda gani, angalia na Klopp pia,
Liverpool in the Premier League this season:
Under Rodgers: 8 Games, 12 Points.
Under Klopp: 9 Games, 12 Points.
the normal one.
Hali ni tete ndugu yangu,lkn tutasimama tu maana in Klopp we believe!
Leicester atakiona cha mtema kuni Anfield
Mkuu kwa Liceister itabidi mshinde hata kwa figisu, hichi kitimu kikiachwa hivi hivi kitazoea vibaya