Yaah flannagan anarudi kwenye full training ..... Kuna habari nimeisoma inadai Klopp anaweza mchezesha DS pamoja na injury yake na mbaya anadai hafikirii ku-sign another ST
Yeah, nimeona kwenye presser yake, kasema he wont splash mkwanja wa usajili January, just for the sake of it, lol
leo nahis Benteke/Origi mmoja wapo ataanza mbele, Firmino anaweza akapumzika leo, ila ningependa kuona ile front three ya Cou, lallana and Firmino as false #9..
Umesema kweli kuhusu Benteke Wanapata Tabu kumchezesha LFC ila Firminho na Milner Mie bado wananiuzi na Furaha ya Coutinho in Sturidge. LFC Leo Emre anatakiwa kupanda ndio tutashinda tatizo sie tukipata Goli moja Kasi tunapunguza, unamuona Klopp anakasirika mikono anawambia wapende ila emre can na Skertel na lovren wanarudisha tu mpira nyuma, muhimu kwenda Mbele Kasi wachanganyikiwe lasivyo watatuotea makona na ma freekick Yao ya uongo na kweli.Kwa sasa mimi ningemchagua Origi over Benteke ...
Hisia zangu zinanituma kuona firmino kwa dakika zote 90 hivyo yawezekana kabisa combo yao itarudi, firmino naona tu anakosa mtu wa kucheza naye sioni kama yupo kwenye form mbaya ya kukaa bench maana ile combo yake na Benteke wali-complete only one pass
Sizani Kama ni hao ndio Wenye makosa Mie naweza kusema makosa Yao kutokujua mpira wa miguu tu ila pesa walizitoa na Brendan Rogers kaziharibu kwa Players wabovu ambao Klopp anaumia kichwa ila ndio kazi yake naamini ataweka tu sawa tukubali tu msimu uishe anunue na kuuza ndio tujue Nani tatizo.Wengine tulishajisemeaga siku nyingi humu (na ninaamini J Klo naye sasa tayari ameshaanza kutambua hili) kuwa jipu lililopo Anfield si uzuri au ubaya wa kocha.
Hawa FSG hawa....hawa ndiyo jipu lenyewe hawa!!
Poleni wakuu hakuna cha mcheza kwao leo ......... ....... ..... kutuzwa.
Ed n Edd nEddy kwema ndugu
Poleni wakuu hakuna cha mcheza kwao leo ......... ....... ..... kutuzwa.
ila chupuchupu leo. sema zile dakika za nyongezaKwema ... Pointi 1 si haba maana nyie hamjaipata kabisa
ila chupuchupu leo. sema zile dakika za nyongeza