Klopp kazingua leo, tena sana tu, na nilisema hapa jamaa itabid ajue tuna games 5 tu kubwa, last week we struggled to beat Swansea at Anfield, jana kafa 3-0 pale Liberty Stadium dhidi ya Leicester, leo hii tunakuja kufungwa na Newcastle 2-0, inamaana kila siku tutakuwa tunastruggle kuzifunga hizi teams, and tuna WBA, Watford, Leicester na Sunderland, kwa mtindo huu tutegemee nini?
hakuna point ya kuifunga City bao 4 kama tu unakuja kupoteza dhid ya Newcastle na Crystal palace..
osokonoi wewe unaangalia mpira, hautahitaji jicho la 3 kujua kuwa Benteke, Firmino and ibe combo yao haitakuja fanya kazi..