Kama ni hivyo mbona Dortmund haikuwa tishio kwa hizo team ulizozitaja? Coz Klopp alikuwa coach wa Dort
Aguero amewatungua huku
3-1
Umepoteza kumbukumbu mara hii?
Klopp kachukua Bundesliga mara 2 tena mfululizo then Bayern wakaja na idea ya kuwanyong'onyesha kila mwaka kwa kuchukua wachezaji wake nyota,alipo waambia management wagome kuwauza wakakataa na akaondoka
Klopp kaiongoza low badgeted BVB kucheza fainali ya champion League miaka 3 iliyopita,nenda kaone alimfagia nani hadi kucheza fainali
Huyu jamaa ametuweka goli kali sana
Hahahaaa!! Sawa mkuu
Let wait n see
Time will tell kwa Liverpool
Majogoo mnatisha babake!!! Mmecheza mpira hongereni mashabiki
Siku hizi majogoo hatutagi tena, tunawika na kupanda tu.
Hatimae now tunafurahia kila mechi...
kweli hii gengpress sio mchezo
Leo majogoo mmenifikisha kileleni. ..........YNWA.......thanks WBA too...........
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy Pazi mak89 wembeee mangaML Asprin Kaizer #AllLFcfans.........ohhhhh nilikusahau MosDef najua wiki hii tutakukoma ......lol