Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Pole sana mtani siku nyingine beat linakataa kwenda na step,ukiipiga chini karibu Man U sisi wote reds hutapungukiwa....lol
 
Pole sana mtani siku nyingine beat linakataa kwenda na step,ukiipiga chini karibu Man U sisi wote reds hutapungukiwa....lol

Hahaha hawa unawaweza sana wewe

Weekend hii safi sana Liverpool, Chelsea, City, Arsenal wamepoteza points wote
 
Backline yetu bado sana.

RB - Ćlyne - OK.
LF - Moreno - 50/50
CB(R) - Skertel - OK
CB(L) - Sakho - well, OK, but.....
CB(L) - Lovren - du!!?
Other - Toure, etal - #$?#*%!!??

Eneo hilo Klopp itabidi alitafutie dawa kwenye dirisha dogo...bila kusahau anchorman walau mmoja.
 
Sijafurah kama ambavyo arsenal wangefungwa..yaani ningetembea uchi kila mahal

Khaaa!Ni kosa la jinai kwa mtu mwenye umri kama huo kutembea uchi

Njoo Bwalo la Lugalo hapa JW tunywe pombe dada
 
Bosi upo kumbe?

Poleni sana mkubwa ... angalia tuu usije ukavunja Tv kama kipindi cha Brendan

Lini kampeni ya Klopp out inaanza?
Tehteh nipo Sema nakuja siku za kufungwa siku za kushinda najisahau kuzuka hapa furaha inakuwa kubwa , soon nitaanza Msemo wa kina Rubaman wa Ah Kombe La Mbuzi hatulitaki Msemo wa Arsenal hata CL league watasema Kombe La mbuzi hatulitaki au la Farasi, Mie ikifika February nitatumia Msemo wao wachezaji wengi maumivu kombe la Mbuzi hatulitaki EPL tehteh lazima kukimbilia viisingizio sasa hivi room ya Chelsea ni Ghost Town Bora hata sie.
 


Hahahahaha mkuu naona mlimwacha Klopp alone ndani ya Kop. Afu mkifungwa hasira huwa zinafika hadi vidoleni unasahau kuweka nukta na mikato katika sentensi. Na nyie naona kila msimu mna majeruhi wengi kama sisi, msimu huu mkishindwa kumaliza top 4 itabidi muuze timu kwa Mo Dewji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…