Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lol, LVG alipigwa chini akiiacha team ikiwa ya 12 na 3 points off the relegation zone..

Mafanikio makubwa ya LVG ni akiwa ya Ajax, na barca ya 1997's..but katika Bundesliga Klopp ana Record nzuri kuliko LVG..na kwenye EPL van Gaal bado HAJA-PROVE CHOCHOTE..

Since 2010 mpaka sasa, only JM, CA and Pep ndo better zaidi ya Klopp..

Usifananishe manager kijana na mzee ambaye kaanza kazi ya ukocha tangu 1986, na CV yake kubwa anayojivunia mpaka sasa ni ile ya Ajax enzi hizo ya 1990's..

For the past 5-6 years, klopp amefanya vizuri kuliko LVG..

Oh, kumbe! Kwa hiyo kwa kuwa ni mafanikio ya miaka ya 1990 hayahesabiki siyo? Kwa hiyo mafanikio ya Loserfools pre-EPL hayahesabiki? To put it better, mafanikio ya Loserfools katika Premier League, oh wait, the Football League 1st Division ni ya miaka pre-1990

Kuipa Uholanzi 3rd spot kwenye WC, naona it happened in the 1990s, right?

LvG kakaa misimu miwili Bundes msimu wa 2009/10 kachukua makombe yote ya Ujerumani. Klap kakaa misimu mingapi Bundes? Oh! Nimesahau, hili hali-count kwa sababu it was only seven seasons for him!

Haja-prove chochote kwa nani, Loserfools? Kwa #ManUnited amesha-prove his value kwa kuirudisha timu UCL; that's a big milestone, considering what DM did.

Mbona hueleweki, mara useme mafanikio ya LvG makubwa ni Ajax na Barca, mara CV anayojivunia ni ile ya Ajax miaka ya 1990!

For the past years Klap kafanya vizuri kwenye nini? Kwa sababu baada ya kutimuliwa Bayern, LvG toka 2011 yupo na timu ya taifa, na kaifikisha semi-finals ya WC. Sasa sijui unawalinganisha vipi hawa? Mmoja kwenye klabu, mwingine national team 😳
 
Unaposema mchezaji hafai inamanisha nini, ndio maana basi unajiita NZI! OUVAA

Namaanisha hafai!

Nzi ni jina kama majina mengine tu. Mbona hushangai mtu kuitwa Sungura, Mapunda, Katembo, Swala, Nyati?
 
Oh, kumbe! Kwa hiyo kwa kuwa ni mafanikio ya miaka ya 1990 hayahesabiki siyo? Kwa hiyo mafanikio ya Loserfools pre-EPL hayahesabiki? To put it better, mafanikio ya Loserfools katika Premier League, oh wait, the Football League 1st Division ni ya miaka pre-1990

Kuipa Uholanzi 3rd spot kwenye WC, naona it happened in the 1990s, right?

LvG kakaa misimu miwili Bundes msimu wa 2009/10 kachukua makombe yote ya Ujerumani. Klap kakaa misimu mingapi Bundes? Oh! Nimesahau, hili hali-count kwa sababu it was only seven seasons for him!

Haja-prove chochote kwa nani, Loserfools? Kwa #ManUnited amesha-prove his value kwa kuirudisha timu UCL; that's a big milestone, considering what DM did.

Mbona hueleweki, mara useme mafanikio ya LvG makubwa ni Ajax na Barca, mara CV anayojivunia ni ile ya Ajax miaka ya 1990!

For the past years Klap kafanya vizuri kwenye nini? Kwa sababu baada ya kutimuliwa Bayern, LvG toka 2011 yupo na timu ya taifa, na kaifikisha semi-finals ya WC. Sasa sijui unawalinganisha vipi hawa? Mmoja kwenye klabu, mwingine national team 😳

Lol, history at its best..

Nmesema kuanzia 2010 mpaka sasa, Klopp ndo amepata mafanikio makubwa kuliko LVG..

Katika duru la mpira wa sasa, Man City and Chelsea are MILES better than LFC, lakini historically LFC ni bora kuliko hizo team mbili, lakin kwasasa LFC haiwez kuendelea kuish kwa past experience yake, ni lazma itengeneze jina katika mpira wa sasa kwa mara nyingine tena, so suala la kuleta mafanikio ya manager miaka ya 90 na sahiv, unakuwa unatwanga maji kwenye kinu, Ajax used to rule Europe back then, but hawatokaa warudie zile zama katika mpira wa sasa, unless massive take over itokee, sahiv mpira upo katika new technical direction, aina ya mpira wa sasa huwez kuifananisha na ya miaka ya 1990, na ndo maana ukimweka klopp na LVG kwa sasa, Klopp anabakia kuwa bora zaid ya LVG katika mafanikio ya kazi ya U-MANAGER katika ngazi yoyote ile.

LVG kukaa misimu miwili tu Germany, ni kwasababu alipigwa chini, kama angeendelea kufanya vizuri, there's no way angepigwa chini, na Bado Klopp ANABAKIA kuwa bora zaid ya LVG katika league ya Germany..kashinda trophies na Dortmund akiwa katika limited budget, chanzo kikubwa cha LVG kupigwa chini, ni kumaliza nafas ya 3 kwa gap ya point 10 na Klopp (dortmund) huku bayern ikiwa imespend bigger than any other team pale germany..

BR almost won the league 2013/2014, lakin hatuwez kusema kaprove chochote kwenye EPL..kama kuwa top 4 contenders baada ya kuspend millions ni kuprove something, then i rest my case

LVG won 4 trophies akiwa na Barca miaka ya 97 ambayo pia ni mafanikio kwake, Lakin LANDMARK ya LVG ipo kwa AJAX mpaka leo hii, MAFANIKIO YAKE makubwa katika ngazi ya ukocha ni yale ya Ajax..and amefail kuipita record yake ya Ajax, Rijkaard, Pep, and now Enrique wote wana better record kuliko LVG pale Barcelona, he failed pale Spain aliporud kwa mara nyingine tena akafail tena ujeruman, nyuma ya Klopp, na alifail akiwa na UHOLANZI miaka ya 2000, mafanikio makubwa ya LVG kwa ngaz ya national Team ni kuipeleka team ya Taifa WC semis, which is hata kina Sabella na Kilinsmann washafanya hayo..

Mafanikio ya manager hayapimwi kimzani bro...haijalishi upo wap na utafundisha ngazi ipi..kinachomata impact ya kocha na mafanikio ya kocha kwa miaka husika, Klopp amekuwa kocha bora zaid ya LVG tangu 2010, katika ngazi yoyote ile..
 
Oh! Okay.

At least he has an UCL medal to brag..what Klap got?

Of course, they would fit perfectly with Loserfools' ambitions, and not #ManUnited's

Lol, simeone anapigania league title na MIAMBA ya Dunia Madrid and Barcelona, wakat huku huyu mwenye Ambitions anapigania kubak Top 4 baada ya kuspend not less than £230m
 
Di MATTEO ana UCL trophy, tena alishinda mbele ya Bayern, the most inform team kwa kipind kile tena ilikuwa ni 2012 tu hapo..siyo miaka ya 90 huko..
 
Lol, history at its best..

Nmesema kuanzia 2010 mpaka sasa, Klopp ndo amepata mafanikio makubwa kuliko LVG..

Katika duru la mpira wa sasa, Man City and Chelsea are MILES better than LFC, lakini historically LFC ni bora kuliko hizo team mbili, lakin kwasasa LFC haiwez kuendelea kuish kwa past experience yake, ni lazma itengeneze jina katika mpira wa sasa kwa mara nyingine tena, so suala la kuleta mafanikio ya manager miaka ya 90 na sahiv, unakuwa unatwanga maji kwenye kinu, Ajax used to rule Europe back then, but hawatokaa warudie zile zama katika mpira wa sasa, unless massive take over itokee, sahiv mpira upo katika new technical direction, aina ya mpira wa sasa huwez kuifananisha na ya miaka ya 1990, na ndo maana ukimweka klopp na LVG kwa sasa, Klopp anabakia kuwa bora zaid ya LVG katika mafanikio ya kazi ya U-MANAGER katika ngazi yoyote ile.

LVG kukaa misimu miwili tu Germany, ni kwasababu alipigwa chini, kama angeendelea kufanya vizuri, there's no way angepigwa chini, na Bado Klopp ANABAKIA kuwa bora zaid ya LVG katika league ya Germany..kashinda trophies na Dortmund akiwa katika limited budget, chanzo kikubwa cha LVG kupigwa chini, ni kumaliza nafas ya 3 kwa gap ya point 10 na Klopp (dortmund) huku bayern ikiwa imespend bigger than any other team pale germany..

BR almost won the league 2013/2014, lakin hatuwez kusema kaprove chochote kwenye EPL..kama kuwa top 4 contenders baada ya kuspend millions ni kuprove something, then i rest my case

LVG won 4 trophies akiwa na Barca miaka ya 97 ambayo pia ni mafanikio kwake, Lakin LANDMARK ya LVG ipo kwa AJAX mpaka leo hii, MAFANIKIO YAKE makubwa katika ngazi ya ukocha ni yale ya Ajax..and amefail kuipita record yake ya Ajax, Rijkaard, Pep, and now Enrique wote wana better record kuliko LVG pale Barcelona, he failed pale Spain aliporud kwa mara nyingine tena akafail tena ujeruman, nyuma ya Klopp, na alifail akiwa na UHOLANZI miaka ya 2000, mafanikio makubwa ya LVG kwa ngaz ya national Team ni kuipeleka team ya Taifa WC semis, which is hata kina Sabella na Kilinsmann washafanya hayo..

Mafanikio ya manager hayapimwi kimzani bro...haijalishi upo wap na utafundisha ngazi ipi..kinachomata impact ya kocha na mafanikio ya kocha kwa miaka husika, Klopp amekuwa kocha bora zaid ya LVG tangu 2010, katika ngazi yoyote ile..

Sawa basi...Klapp is better than LvG. To put it plainly, Klapp is the best manager to ever exist in the soccer world.
 
Lol, simeone anapigania league title na MIAMBA ya Dunia Madrid and Barcelona, wakat huku huyu mwenye Ambitions anapigania kubak Top 4 baada ya kuspend not less than £230m

Right on point 👏🏿
 
Benteke, Sturridge and Firmino WOTE WAMERUDI KATIKA FULL TRAINING..
 
James Pearce anasema Klopp anaM-rate Firmino sana, kipind yupo Dortmund, he tried to sign him but ended up with MK..so yupo nae LFC now..combo ya Bobby, cou and sturridge itakuwa NOMA sana..
 
who is MK
 
expecting to see Bobby akitokea zaidi katikati nyuma ya ST, huku Cou akicheza deep zaid (Modric role), au akicheza wide kuingia katikati..
 
lol, Gege and Pressing ni hatari, ile game ya Jmos, emre can alikuwa anaufata mpira kila ulipo...alifanya tackle moja nzuri sana kwa kane..
 
Origi should start against Kazan, dogo anahitaj goals kukaa sawa, niliona kwenye post-presser jinsi klopp alivyokuwa anamsifia, anajua kujiposition, but bado hajajua kudictate play, ndo maana anashindwa kwenda sawa na magical touches za Cou..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom